Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,692
Nimekuwa nikichepuka na mke ya Mutu kwa muda sasa bila hata ya uyo bwana wake kujua
Kama ilivyo kawaida za mwizi ni 40, jana mme wake kanasa sms zangu kwa wife wake na kathibitisha mimi ndio huwa nampa mkewe jeuri na hapa ndoa hiyo imeingia kwenye mgogoro mkubwa ambao unahitaji wazee ndio wauweke sawa
Uyo mmewe kanipigia simu na kunitumia sms ya vitisho tena isiyokuwa na lugha yenye staha pia
Amenipa onyo kali sana na kunitaka niwachane na mke wake!
uyu mke wake ananipenda sana na hivi ananipigia simu anasema yakitulia ataniambia tuyaendeleze
Hapa nipo njiapanda wakuu, jamaa anaweza vunja mtu mguu huyu natamani hata niame mtaa huu
Lakini pia ameniomba nimtafute tukaongee tuyamalize kiume, ndio nipo najiuliza hapa hili onyo alilotoa kali hivi
nikionana nae nini kitatokea sijui