Natafuta mchumba wa kuoa

jk kisiwa

Senior Member
May 31, 2016
131
97
Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 27 elimu yangu ni diploma ya ualimu na nimebahatika kuajiriwa serikalini shule moja iliyo apa mkoni singida natafuta mwanamke ambae atakuwa tayar kuolewa na mimi ambe atavumilia hali yangu ya kibamia nilicho nacho aliye tayar aje pm
[HASHTAG]#mwalimukipepesamacho[/HASHTAG]
 
Usidhani wanawake hawajauona huu uzi wako, bali nadhani hii imesababishwa na
1. kibamia
2.Kazi ya ualimu haina hela
3.unaishi mkoani
..........................
Samahan mkuu kwani kuna kosa lolote mtu kuishi mkoani ?? sisi tulio mikoani hatuna haki ya kupata wapenz wa JF?
 
Usishindane na nature, hakuna asiyependa vitu vizuri
Sikubaliani na wewe hata hao wenye vitu vizuri vya kuvutia wanawake bado wanasalitiwa na kumegewa kila siku

By the way hata watu wa mikoani wana hivyo vitu vizuri unavovisema
 
Du hii ni Kali wanawake wa kuoa hawapatikani kwa njia kama hii utapata wa kula bata nao tu si wa kufunga ndoa nao zaidi ya hapo komaa kumuomba Mungu wako tu yeye ndo anajua akupe mke yupi
 
Kwa hiyo mkuu unatushaurije tunaotegemea kuweka mabandiko ya kuvua vikitchen humu!
 
Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 27 elimu yangu ni diploma ya ualimu na nimebahatika kuajiriwa serikalini shule moja iliyo apa mkoni singida natafuta mwanamke ambae atakuwa tayar kuolewa na mimi ambe atavumilia hali yangu ya kibamia nilicho nacho aliye tayar aje pm
[HASHTAG]#mwalimukipepesamacho[/HASHTAG]
Duuh kibamia!!!!!!!?
Kwani hujui kukitumia???
Mbona kina function????
Huna hela tafuta hao hao mabinti wa Lissu Ulio nao. Wakufundishweeeweeeee
 
Sikubaliani na wewe hata hao wenye vitu vizuri vya kuvutia wanawake bado wanasalitiwa na kumegewa kila siku

By the way hata watu wa mikoani wana hivyo vitu vizuri unavovisema
Kuishi Jijini ni moja kati ya kigezo kuntu cha kuulainisha moyo wa dem
 
njooo inbox m
Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 27 elimu yangu ni diploma ya ualimu na nimebahatika kuajiriwa serikalini shule moja iliyo apa mkoni singida natafuta mwanamke ambae atakuwa tayar kuolewa na mimi ambe atavumilia hali yangu ya kibamia nilicho nacho aliye tayar aje pm
[HASHTAG]#mwalimukipepesamacho[/HASHTAG]
njoo inbox maya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom