Wana MMU Pokeeni Zawadi Yenu

Wana MMU Pokeeni Zawadi Yenu

Thanks for good and lovely song, mi nimepapenda
"Tena ni kubwa adhabu watu ninyi kuachana.
Hamuioni sababu kwa huku kutendeana."
Msg sent.
 
Huyu dada yupo! Dah ni mbishi mpaka, enzi hizo naingia JF kama guest alikuwa anavutana na watu balaa!
 
Huyu dada yupo! Dah ni mbishi mpaka, enzi hizo naingia JF kama guest alikuwa anavutana na watu balaa!

Hebu wacha kunung'unika pokea zawadi hiyo, unajuwa chama cha kwanza cha taarab tanganyika kilikuwa Moshi?
 
Mamaa wee, bado Tanzania haijaidhinisha ndoa za jinsia moja, InshaAllah zisiruhusiwe maana ni laana hiyo.
HAHA kama kawaida yako, majibu yako ni kama ya Yesu aliyokuwa anawajibu wayahudi. Ila kutoka moyoni mwangu nilikumiss sana faiza
 
HAHA kama kawaida yako, majibu yako ni kama ya Yesu aliyokuwa anawajibu wayahudi. Ila kutoka moyoni mwangu nilikumiss sana faiza

I missed you al ndiyo maana nawapa zawadi hiyo ya "mazowea yana taabu".
 
Back
Top Bottom