Moja kati ya vitu vinavyowateka hawa dada zetu ni usafi pamoja na kujiheshimu, Hivi vitu ni kama kidole na pete yani vyote vinaenda sambamba.
Awali nlikwishaletaga maada hapa kwamba kitaani...
Habari za kutwa wanajamvi. Nianze kwenda kwenye mada husika, kwa kipindi cha mwezi mmoja kumekuwepo na wimbi/kampeni/shuhuda wa watu waliokuwa wameadhirika na punyeto na thread zao zimekuwa...
Unakuta umekiweka sawa kishtobe kimekuelewa ile mbaya, then kinakuja kukutwanga swali hili" UMEOA" hapo ndo unajikuta unamkataa mke mchana kweupeee!!! Maana ukimwambia umeoa tu anaota mbawa...
Leo nimepata kumtania wife mtarajiwa kwa mfano kama tungekuwa na ratiba ya kuSex angependa iweje? Majibu yake yalikuwa kama yafuatayo.
Jumatatu - No
Jumanne - No
Jumatano - Yes/No
Alhamisi -...
USHAURI WANGU KWAKO WEWE MWANAMKE.
1). Usinyanyue sauti mbele ya mumeo kwa sababu yoyote ile. Hiyo ni ishara ya utovu wa heshima.
2). Usifichue udhaifu wa mumeo kwa familia na marafiki zako...
Kwanza nianze kwa kusema,hakuna jambo lenye kuumiza maishani kama kukataliwa ,kwa mwanadamu yeyote hujihisi na mapungufu tele iwe mwanaume /mwanamke ,hili jambo ni jambo lenye kuumiza sana ...
Habari zenu!
Kama kichwa cha habari kisemavyo, wanawake wengi wajawazito wana uvaaji wao wa kanga, jui ya maziwa na sio kiunoni! Ni swali la kidadisi tu!
Habari wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza , inafaa kwa mtu kumueleza rafikiye kwamba unahitaji kuoa dada yake?
Karibu sana ,
(Kiukweli ),
Seriously
Jocking
Is
Not
Allowed...
Dharau huchangia kwa kiasi kikubwa kupunguza mapenzi kama sio kuyamaliza kabisa. Unapokuwa kwenye uhusiano jitahidi kumpenda mtu wako kwa hali yoyote na usiwe na dharau kwake au hata kwa marafiki...
Habari zenu wana MMU,
Nimewamiss! nimekuwa buzy na kuandika story ila watu hawaishi kuniletea zao!
Shogangu: Money Penny buana nimekamatika vbaya mnoo au sijui nimekamatwa au nimejikamatisha...
Katika chunguza chunguza yangu nimekuja kugundua kuwa wadada wa kiislamu wanaheshimu zaid ndoa yao kuliko ambavyo wadada wa kikristo hufanya katika ndoa zao.
Ifahamike kuwa uchunguzi huu ni wa...
Hili ni jambo la kimaumbile hasa kwa mtoto wa kiume, kutongoza .
pia kukataliwa ni Sunnah toka kwa mababu na mababu , kwa hiyo usione ajabu, Sio wa kwanza kukataliwa ,
Hata babu zetu uko nyuma...
Habari zenu wadau,
Nipo Tanga ni mfanyakazi.natafuta rafiki wa kike baadae aje kuwa mke .
Umri wangu ni 35
Dini mkristo
Sifa za ninaye mtaka.
Mweusi
Mrefu kiasi
Awe mchapakazi na mbunifu hata kama...
If I Had One Wish".......
If I had one wish, boy I'd wish you next
And it could be in summer, fall or spring, boy 'Cause you make my heart sing
I wanna give my heart, my soul, my love to you Oh...
Kuna hili suala la wanawake kutongozwa kisha kumwambia mwanaume kuwa ametongozwa na flani na ameahidiwa kitu gani.
Binafsi limenitokea mara kadhaa, kuna wanawake ambao ni marafiki tu wa kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.