Maamuzi: Kufuatia Kujilipua Kuoa.

Udochi

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
782
1,056
Mabibi na mabwana,

Nimepitia michango yenu yote mlioitoa kwenye uzi wangu wa jana uliosomeka
"Nataka kujilipua kuoa".

Nawashukuru nyote.

Maamuzi niliyoyafikia:
Nimeamua kujilipua kuoa.
Na sasa nipo kwenye utaratibu wa kutafuta mwenzi.

Kigezo: Umri kuanzia miaka 20 hadi 26.

La kuzingatia: Awe na lengo la kusaidiana na awe mvumilivu katika maisha,
asiendekeze anasa zisizokuwa za lazima.

Tuwasiliane PM.
 
Hebu tupe sababu za msingi zilizokufanya uamue kuoa.
 
Kila la kheri, ukumbuke kutualika kwenye pilau.. Au una mpango wa kumuweka ndani kimya kimya..??
 
Mabibi na mabwana,

Nimepitia michango yenu yote mlioitoa kwenye uzi wangu wa jana uliosomeka
"Nataka kujilipua kuoa".

Nawashukuru nyote.

Maamuzi niliyoyafikia:
Nimeamua kujilipua kuoa.
Na sasa nipo kwenye utaratibu wa kutafuta mwenzi.

Kigezo: Umri kuanzia miaka 20 hadi 26.

La kuzingatia: Awe na lengo la kusaidiana na awe mvumilivu katika maisha,
asiendekeze anasa zisizokuwa za lazima.

Tuwasiliane PM.

Sijawahi kuona Mahusiano yaliyoanzishwa kupitia Mitandao yakawa na mafanikio hasa kwa Waafrika hata hivyo nikutakie tu kila la kheri katika kujilipua kwako huko.
 
Me nilizani unajioipua tayali umeshamuandaa mke kumbe ndo unatafuta ,bt nionavyo wewe sio muoaji unatafuta wakutafuna tu watakaokufwata uuko pm wameliwa.
 
Mabibi na mabwana,

Nimepitia michango yenu yote mlioitoa kwenye uzi wangu wa jana uliosomeka
"Nataka kujilipua kuoa".

Nawashukuru nyote.

Maamuzi niliyoyafikia:
Nimeamua kujilipua kuoa.
Na sasa nipo kwenye utaratibu wa kutafuta mwenzi.

Kigezo: Umri kuanzia miaka 20 hadi 26.

La kuzingatia: Awe na lengo la kusaidiana na awe mvumilivu katika maisha,
asiendekeze anasa zisizokuwa za lazima.

Tuwasiliane PM.
Mkuu ukimpata usimuoe kwanza mpaka upige kilimo kwanza maana hawa mabinti wa siku hz wameshavuruga vizazi vyao, wanatoa mimba sana,wanakunywa madawa ya uzazi wa mpango,na zile dawa za kuzuia mimba baada ya ku-du, ila ukimpata bikra tangaza ndoa kaka!
 
Back
Top Bottom