STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Una Mimba eh...Sawa....
Ni Matunda ya 'shughuli
uliyoshughulika kuishughulikia siku ile ya
shughuli,...Unasema hukutegemea...Hapo ndo
wazimu unapoanzia,
Unamnywesha farasi wako
Petroli ili akimbie kama Verossa???
Huwezi kukata
kiuno useme hukutegemea Mimba.. Umeenda Mbali zaidi...Unataka uolewe kwa sababu
una Mimba...
wazimu Part 2...Mimba ni
Temporary, utajifungua miezi 9 ijayo....
Unataka
ujitwishe Msalaba wa Milele kwa sababu ya Tatizo la
Muda mfupi..
Ukiingia Ndoa huwezi
kujifungua, Ndoa ni Mimba ya Milele, Remember that..
Kabla hujamwaga Mauno kama Yondo Sista jiulize
uko tayari kwa matunda ya hayo mauno???
Usijigeuze steji Shoo kama hujapewa ajira na Akudo...