Kwanini wanaume wachache kuliko wanawake

Kuna sababu nyingi
1. probability ya kupata mtoto wa kike ni kubwa kuliko wa kiume, rejea mzunguko wa hedhi wa mwanamke
2. Watoto wa kiume chini ya miaka mitano wanakufa wengi zaidi kuliko wa ke
3. Wanaume wanafanya kazi ngumu na hatarishi kama za machimbo, bodaboda nk ambazo vifo ni nje nje
 
Kwasababu watu wengi wanafanya mapenzi ovyoovyo
Rejea process ya formation ya mtoto wa kiume na kike
 
Kuna sababu nyingi
1. probability ya kupata mtoto wa kike ni kubwa kuliko wa kiume, rejea mzunguko wa hedhi wa mwanamke
2. Watoto wa kiume chini ya miaka mitano wanakufa wengi zaidi kuliko wa ke
3. Wanaume wanafanya kazi ngumu na hatarishi kama za machimbo, bodaboda nk ambazo vifo ni nje nje
Hata kwenye safari maranyingi wanaume ndio huwa wengi, hivyo ajali ikitokea ni rahisi wao kufariki wengi.

Wanaume ndio wakuu wa familia,hivyo kila kitu kinawaangalia wao, pia wao ni watu wa kuweka sana vitu ndani(aweza akawa hana furaha ila atajitahidi kuonyesha anayo kumbe ndani anaungua) hivyo magonjwa kama pressure kwao ni njenje.
 
Wanaume kuwa wachache kuliko wanawake hiyo ndivyo na ndivyo itakavyoishia mpaka mwisho wa dunia, maana hata kwenye vitabu vya neno la MUNGU tunasoma, Isaya 4:1 imeandikwa, "na siku hiyo wanawake Saba (7)watamshika mtu mume mmoja wakisema, tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako , utuondolee aibu yetu.
 
Kuna sababu nyingi
1. probability ya kupata mtoto wa kike ni kubwa kuliko wa kiume, rejea mzunguko wa hedhi wa mwanamke
2. Watoto wa kiume chini ya miaka mitano wanakufa wengi zaidi kuliko wa ke
3. Wanaume wanafanya kazi ngumu na hatarishi kama za machimbo, bodaboda nk ambazo vifo ni nje nje
Hata kwenye safari maranyingi wanaume ndio huwa wengi, hivyo ajali ikitokea ni rahisi wao kufariki wengi.

Wanaume ndio wakuu wa familia,hivyo kila kitu kinawaangalia wao, pia wao ni watu wa kuweka sana vitu ndani(waweza hana furaha ila atajitahidi kuonyesha anayokumbe ndani anaungua) hivyo magonjwa kama pressure kwao ni njenje.
 
Naona itafika wakati itabidi hata wakristo wawe na mke zaidi ya mmoja maana hata neno linatuambia habari ya wanawake 7 kuwa na mume 1 japo kuwatunzia heshima hao wanawake. Na ukiangalia ni heshima gani inayoongelewa hapo ambayo wanawake wanahitaji kutunziwa ni kupewa mimba na kupata watoto, maana yake heshima ya mwanamke ni kuwa na watoto pia siyo mume pekee ,sawa na Yeremia 23:5; Rum 1:3-4; Isaya 11:1.
 
waunaume tupo wachache....na hii ni kutokana na kuwa enzi zile za utumwa mibepari ilikuwa na shida sana na wanaume kuliko wanawake....hivyo hivyo kwenye vita wanaume walitangulizwa mbele wengi walipoteza maisha wanawake wengi walibaki, ukichanganya wanawake walioachwa wajane kipindi cha vita na hawa ambao walizaliwa kipindi hicho hicho cha vita wanawake watakuwa wengi tuuu....
 
Hawa wanawake mbona wengi lakini mwanamke mmoja ana wapenzi wawili ama watatu? Ifike pahala wanaume tutafte wanawake ambao hawajawahi kuwa na mahusiano

Kwani wao walikuwa na mahusiano na akina nanani?
Na ukishakuwa na mahusiano nae hakikisha huyohuyo ndio utakae muoa.

Pia kumbuka nyie nyie wanaume ndio mnataka wake wa wenzenu wakati wanawake wamejaa.
 
hii inatokana na sababu za kibiolojia zaidi kama tunavyojua kuwa mwanamke ana gamet XX wakati mwanaume ana XY na pia baada ya tendo la ndoa sperm cell yenye gamete X inaishi siku nyingi kuliko sperm cell yenye gamete Y ingawaje gamete Y ina speed kubwa kuliko X (ikumbukwe kuwa ili mtoto wa kiume apatikane ni lazima sperm cell ya gamete Y iungane na yai la mwanamke ambalo always ni gamete X) kwa bahati nzuri au mbaya ovulation au kupevuka kwa yai la mwanamke hutokea ndani ya siku ya 14 ya mzunguko na hapo ndipo mbegu Y ya mwanaume inatakiwa kuingia kwenye yai kwa sababu ina muda mfupi wa kuishi kuliko X hivyo timing kubwa sana inatakiwa ifanyike ili kuhakikisha X inakuwa fertilized na Y kutoka kwa mwanaume WAKATI ingekuwa tunahitaji yai (X) liwe fertilized na X kutoka kwa mwanaume no need of timing kwa sababu mke na mme wanaeza kufanya mapenzi hata siku ya 11 ya mzunguko wa hedhi na mbegu X kutoka kwa mwanaume zikaishi mpaka siku ya fertilization(siku ya 14) hivyo kutunga mimba ya mtoto wa kike.
 
Hesabu vita vilvowah kupiganwa duniani then utajua kwa nn wanaume ni wachache.....
 
ukijumlisha yote hapo waliotaja wakuu... utagundua mwanaume yupo kwenye risk kubwa ya kufa halaf pia anahitaji timming ya juu kumpata kwenye kuzaliwa!!!
ila mwanamke anazaliwa simple na hayupo kwenye risk kubwa ya kufa.. thus why wanawake wapo wengi...!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom