GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,212
Ninapoelekea sasa nitasitisha kuwa na Urafiki na Wanaume kwani sijui ni kwanini kila nikianzisha tu Urafiki na Mwanaume mwenzangu halafu akinikaribisha tu Kwake basi nikimkuta tu ama Demu au Mkewe basi haitochukuwa siku 3 yule Shemeji yangu atanitafuta kwa siri na kuniambia ananipenda na anataka nifanye nae mapenzi ( nimbandue ).
Kusema ukweli mpaka hivi sasa nimeshawabandulia Marafiki zangu kama 63 wake zao ( Mashemeji zangu ) na kiukweli nilikuwa sitaki na nilijitahidi mno kuwaepuka ili nisifanye hizo dhambi ila bahati mbaya hao Mashemeji zangu wote walikuwa wakinipa sababu moja kubwa ambayo imenibidi leo niiseme ili Wahusika muijue na mbadilike kusudi GENTAMYCINE nisiendelee ' kuwabandulieni ' Mademu / Wake zenu kwani sasa naona ni KERO kwakuwa kila siku tu wananisumbua wanataka niwabandue na Mimi sasa nimeamua kubadilika na nakaribia kuchumbia na kuona.
Hao Wanawake wote 63 Mademu na Wake wa Marafiki zangu wamekuwa wakiniambia kuwa Wapenzi wao ( nyie Wanaume wenzangu ) kuwa hamjua ' kubandua ' kisawasawa na mnachofanya ni ' kuwapapasa ' tu ila wanasema kuwa wananing'ang'ania Mimi GENTAMYCINE kwakuwa huwa ' sibandui ' bali ' nakandamiza ' kabisa hadi Injini ya gari ( Mbunye ) zao zinakunika.
Na kibaya zaidi hao Wote 63 niliowabandua hakuna hata mmoja wao aliyeniomba hela ( kunichuna ) ila ninachojua ni kwamba wote huwa ' wananihonga ' mno hadi naogopa japo kwa upande mwingine namshukuru ' Maulana ' kwa kuniumba na ' Mkuyenge ' wa maana na mtamu kama ambavyo wengi wao wametoa ' shuhuda ' zao mbele yangu.
Enyi Wanaume ( Marafiki ) zangu hivi ni kwanini hamjua ' kuwabandua ' vizuri Wake / Mademu zenu? Hivi nitaendelea kuwasaidieni hivi hadi lini? Tatizo lenu ni nini hadi hao mnaowaita Wapenzi wenu ' hujitongozesha ' mno Kwangu na kunilazimisha niwabandue? Halafu kinachonisikitisha wengi wa nyie Wanaume ( Marafiki ) zangu ambao huwa ' nawabandulieni ' hao Wake / Mademu zenu ni Matajiri na mna Nyadhifa nzuri tu katika Jamii yetu huku Mimi GENTAMYCINE nikiwa ni ' Kapuku ' wa kutukuka hadi kuna muda huwa nikiwaoneni katika Mitandao ya Kijamii au katika Television au nikiwasikia mkizungumza katika Radio huwa ' nawachekeni ' na ' nawadharau ' sana.
Badilikeni upesi la sivyo kila siku nitakuwa nawaliza tu kwa hao mnaowapenda!
Nawasilisha.