Kwa wale wanaume wa ukweli ambao tunatoka mkoa wa Mara na wale ambao tulitahiriwa bila ganzi enzi hizo. Hebu tukumbushane hali ilivokuwa na namna hali ilivokuwa.
Binafsi nilipata maymivu makali...
Nauliza je hivi hakuna haja ya kufanyika marekebisho kidogo katika suala zima la malipo au utoaji wa mahari kwa Wanawake tunaotarajia kuwaoa ili ile ada ya mahari badala ya kuwa non refundable (...
Habari wakuu,
Nipo kwenye kautafiti,
Chonde chonde wakuu msinipige wala kunisimanga haka kautafiti sio kama kale ka twaweza, haka ni ka utafiti binafsi,
Wale wazee wa tanzania ya viwanda nadhani...
Kwa opinion yangu, kilevi kinamfanya mwanamke kuwa mrahisi zaidi. Ikizingatiwa kwamba wanawake ndio 'huwa' hutongozwa na si wanaume.
Kilevi kinamuondolea mwanamke aibu na uoga, kinamfanya...
Ha ha ha ha ha nakucheka kwa dharau. Hivi wenzako wanapelekwa Girrafe hotel wewe unapelekwa kiwanja cha shule usiku wa manane unapigwa mbu dah wanaume nawaona au kwa vile viwanjani hakuna hata...
Siku hizi naona dada zetu mishipa ya aibu imekatika kabisa kiasi kwamba kuomba kwao sasa imekuwa kama ndio mfumo wa maisha yao.
Imefikia hata unaogopa kuzoeana nao kwani mkishazoeana kidogo tu...
Shwari wakuu?
Inawezekana natofautiana kiasi kikubwa na wanaume wengi. Nafahamu wengi hawapendi usumbufu wa kuombwa ombwa vijisenti na wasichana. Mimi ni kinyume kabisa. Msichana kuniomba hela...
Nimekuwa Addicted na Huu mchezo naupenda sana Aisee! kama kuna mtu ana mawasiliano ya mmoja wa wale wanawake wanaocheza ule mchezo naomba msaada Tafadhali....
Habari zenu wana JF,
Ninahitaji boyfriend alie serious na awe na ajira awe mkristo
asiwe mlevi awe na elimu kuanzia O'level.
WASIFU WANGU
Mimi nina umri wa miaka 31
Maji ya kunde
Mkristu...
Kuna hawa mabinti kila nikitoka mishemishe zangu nikifungua mlango wa chumbani tu yani haipiti dakika 1 washakuja kunisalimia wamebeba vichaja vyao ili wachajie huku huku, Yani sometymes inafikia...
Kuna wanaume hawajali mke ila sio wote, ila kwa sasa nazan kama imezidi kila mtu analalamikia hawa viumbe. Kuna ndugu yangu analalamika haachiwi ela ya matumizi na mume ni mtu wa kusafili. Akiludi...
Hili jambo wakaka wengi huwa mnakosea sana kutuonea huruma siku ya kwanza tunapokutana haswaa magetoni mwenu. Hivii mimi mtoto wa kike nimetoka kwetu kabisa nimepanda Daladala nikachukua bodaboda...
Natanguliza sallaam!.
Kuna jambo nimeona ni vyema niliseme pengine linaweza kuwa msaada kwa dada zetu.
Kumekuwa na changamoto kubwa ya kuolewa.. Hii ni kutokana kutooa, kwa kifupi kutoona...
Wakuu,
Hili swali najiuliza sana hebu nisaidieni ,yani Miaka hiyo ya 1999 MA BIBI HARUSI Walikuwa wakilia sana kwenye harusi waliokuwa wanapata kazi ni MATRON maana walikuwa wanawafuta machozi...
ZAMANI KIDOGO MIAKA YA 1999 kurudi nyuma MABIBI HARUSI walikuwa wakilia kwenye harus MATRON walikua na kazi za kuwafuta machozi adi leso tatu au nne...SASA HIVI MABIBI HARUSU, wanaimba, wanacheka...
Kama kichwa cha Habar Kinavyojieleza
Hiv Kwanin wanaume Tulio Funga Ndoa Tunapenda Sana Kutembea na Wafanyakazi wa Ndani ( Bek3)
Yan unakuta Mtu Kafunga Ndoa na Mtoto mzur Lakin Anakuja Kutembea...
kuna hadithi ya mke MMOJA WA MTUME ,yule mama alikuwa na adabu kiasi kwamba alikuwa akilala akitaka kugeuka lazima aombe ruhusa kwa mumewe! baby mpenzi mume wangu naomba kugeuka upande wa mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.