Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndugu zangu, Tusichukulie mambo poa sana.. Kuna umuhimu wa kupata kumbato la nguvu kutoka kwa viumbelojia wenzetu.. Napenda hugging.. Kitakachonifanya niende gym hivi karibuni, ni kutengeneza...
3 Reactions
56 Replies
7K Views
Najiashangaa kwanini huwa sitosheki kila nipandapo ninapo mchosha my mupenzi haipiti dakika tano napata hisia kali nakuwa mpya kama sijafanya vile na manzi angu akiwa kachoka nakutokuwa tayari...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Awali nilisita kuomba namba kwa kuhisi labda atanichomoa, lakini haikuwa vile, namba na jina vyote alinipa. Basi nikaanza hatua za awali. Aliniambia anayachukia mapenzi sababu wote aliokuwa nao...
11 Reactions
107 Replies
10K Views
Wanaume, kuweni makini na bikra feki wanawake wana mbinu nyingi sana za kukuingiza kingi, ndoa imekuwa mtihani kwao, wanafanya kila balaa ili wakuchote akili uingie kingi. Ukiacha hawa wengine...
14 Reactions
140 Replies
19K Views
Habarini za jioni hii wana jamii Forum. Natafuta rafiki wa kike wa kuchat naye, kushauriana mambo ya maisha, pamoja na kubadilishana mawazo, sifa awe anaishi Mwanza, umri chini ya miaka 23. Mimi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukiangalia wanaume wanasumbuliwa zaidi na mwanamke kutokufikia kileleni kuliko hata ya mwanamke mwenyewe, kwanini lakini? Kwa uzoefu wangu wanawake wengi wala siyo ishu kihivyo.
3 Reactions
105 Replies
11K Views
Kumpenda mtu yoyote cyo dhambi au kosa sababu upendo ni kitu pekee kschoumiza hapa duniani ila tu usalit,kukataliwa, upweke na udanganyfu wa aina yoyote katika upendo unaumiza saana ila upendo ni...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Dah kwanza huwa mnanikata stimu kweli ,unapiga simu ya mshkaji kumpa mipango,ghafla unakutana na sauti ya mtoto wa kike... Unajaribu kuangalia namba labda umekosea kumbe ndo yenyewe. Chapili...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Mimi sielewi, mtu unakuwaje na hamu ya kufanya mapenzi wakati huna hela? Unakuta unawaza na kuwazua how to hustle with a dime halafu bae anaomba game...hivi unafanyeje? Kama sina hela sina hiyo...
3 Reactions
54 Replies
4K Views
Wasalaaam wana jukwaa. Ikiwa hali ya hewa inaruhusu nimeguswa kuleta somo fupi juu ya tatizo hili ambalo limekua la kiulimwengu sasa(global). MASTURBATION ni nini hasa? Hiki ni kitendo chochote...
19 Reactions
103 Replies
19K Views
Najua kabisa mna kipaji maalum mmepewa na Mungu cha kutufahamu sisi watoto waume zenu watoto tuliozaliwa na wanawake wenzenu mna uwezo nguvu za kipekee mlizajaaliwa na Mungu ila hamtaki kuzitumia...
4 Reactions
65 Replies
5K Views
Bwana Yesu asifiwe, Poleni na majukumu wana JamiiForums wenzangu? Ninayofuraha kuwashirikisha jambo jema la furaha na baraka. Kwamba mimi Mchungaji wenu ninatarajia kufunga mnamo tar...
6 Reactions
55 Replies
3K Views
Habarini wadau, Mwenzenu nina changamoto sana juu ya sketi za hawa wanachuo wangu ninaowafundisha. Yani watoto ni warembo sana ila sasa haya mavazi yao ni mtihani sana nikiwa napiga lecture hawa...
2 Reactions
106 Replies
8K Views
[emoji121] MAOMBI YENU WAKUU, NIMESIMAMISHA BASI LA WANAJESHI HAPA, NATAKA NIMPIGE TONGOZO MREMBO MMOJA KAVAA GWANDA IMEANDIKWA #MP. NADHANI NI #Marry_Patrick. TUOMBEANE WAKUU...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za jioni mabibi na mabwana.... Habari za siku tele... Poleni na hongereni na mishughuliko ya kutwa nzima. Ni kitambo kidogo tangu niseme kuwa Kasie is back, nilibanwa na jukumu flani hivi...
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Kuna jamaa mmoja alikua na mchepuko guest, mara mke wake akapiga simu na kuipokea mbele ya mchepuko wake na akauambia ukae kimya wakati anaongea na mkewe. Sasa hapa najiuliza mwanamke au...
3 Reactions
86 Replies
8K Views
Wanawake ni jeshi kubwa. Hii mada itakuwa msaada mkubwa sana kwa wale wanaojiandaa kuingia katika ndoa, itasaidia kuwaanda kisaikolojia kupambana na maudhi ya mume maana kwa kweli ni mengi...
17 Reactions
325 Replies
34K Views
Amini usiamini wanaume wengi ni waahanga wa ukatili wa kijinsia toka kwa wake zao naaapa, wanawake wengi mnaonea waume zenu. Tunatoa rai wanaume mjitokeze muende dawati la jinsia na watoto ili...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Nimewiwa kuwashirikisha ninachokiona mwaka huu. Kwa kweli uzazi ni wa kutosha. Miaka ya nyuma ilikuwa ni nadra kukutana na mama mjamzito barabarani. Kwa kweli mwaka huu ni baraka tele. Kila kona...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom