Unaweza kumuachia mchumba simu yako kwa siku tatu?

torvic

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
3,806
9,303
wakuuu!

demu wangu baada ya kufanya ujasusi wake wa kimya kimya ingawa nilikuwa najua kama nipo chini ya uchunguzi
sasa juzi kati hapo kaja na wazo mgando eti akae na simu yangu japo kwa siku tatu na mimi nikae na simu yake.... heheheh!
wana jamvi, hivi kwa mapenzi haya ya sasa unaweza kumuachia demu simu yako hata kwa masaa matatu???
au mimi tu nawehuka na michepuko yangu
 
Simu yangu ndiye rafiki yangu wa karibu katika maisha yangu.

Simu yangu naweza kusema ni zaidi ya mama klaree. Then PC yangu ndiye rafiki wa pili mkubwa na wa karibu. Halafu watu wanafuata.

Siwezi kukaa mbali na simu yangu zaidi ya siku. Sitajiskia vizuri. Labda kama Nimelala.
 
Hakuna anaeweza kumwachia mchumba wake simu yake kwa siku zote izo, labda kama una kamashine ka kufyatulia pesa nyumbani kwako au nitoe laini nimwachie simu.
 
wakuuu!

demu wangu baada ya kufanya ujasusi wake wa kimya kimya ingawa nilikuwa najua kama nipo chini ya uchunguzi
sasa juzi kati hapo kaja na wazo mgando eti akae na simu yangu japo kwa siku tatu na mimi nikae na simu yake.... heheheh!
wana jamvi, hivi kwa mapenzi haya ya sasa unaweza kumuachia demu simu yako hata kwa masaa matatu???
au mimi tu nawehuka na michepuko yangu
Akae na simu yako siku tatu, jamii yako wakikupigia au watu wa kuleta issue za deal uzikose kisa huyo anataka kufanya udukuzi?
 
Upuuzi, simu yangu hata kuzima kwa battery low siwezi kukubali ndo yeye akae nayo, simu yangu inaleta pesa zangu
 
Back
Top Bottom