Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,846
Habari GT wa humu MMU.
Niliwamiss kwa muda sana members wenzangu. Twende kwenye point.
Jamani ndugu zetu wasichana na wanawake hivi mnataka sisi tuweje ili mtupende?
Maana kila mtu analeta visa vyake mfano utasikia mimi napenda mwanaume mpole na na mtaratibu, napenda mwanaume mkali na mwenye kibesi, ooooh!
Napenda mvulana mwenye sura ngumu kama HamoRapa. Yaani hata hamueleweki!
Juzi sasa ndio nilichoka kabisa, kuna msichana nimekaa nae tunachonga ma story nikamgusia hilo swali akasema eti yeye anapenda MWANAUME MWENYE NYWELE NGUMU! Ngachokaa maana mimi tunywele twangu ndio hivyo tena.
Maoni yenu tafadhari wapendwa, ruhusa kutoa povu unaloweza.
♡♡♡♡LoveRayVanBoy♡♡♡♡♡