Nilipata wasaa wakumtembelea bro Arusha kufika kama kawaida nilikaa kidogo japo miezi miwili basi pale kwa bro kulikuwa na ndugu wengine wamekuja pale mmoja nilimkuta mwingine alikuja baada ya mimi kutangulia wakawa wananigombania bila kujijua, kila mmoja ananiambia wewe sio ndugu yangu fanya utakacho.
Baadaye wakaanza kuhusiana wananipenda kila mmoja akimuhisi mwenzie basi vijembe mbaka nikaona nyumba ya moto nikamwambia bro nasepa ingawa nilitamani kuwamega coz wazuri siku ya kuondoka mmoja akanidanganya muda wa mabasi kuondoka nikachelewa usafiri mwingine akajifungia chumbani siku nzima.
Hata nilipokosa usafiri hakutaka kujua alinuna kinoma basi kesho yake nikasepa unaambiwa kila mmoja anamitumia meseji mbaka leo eti amepanga chumba mwingine Morogoro mwingine Mbeya ingawa wa Mbeya nasikia anakidume na tayari anamtoto ushahidi upo ila anakataa.