Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,560
Nimefanya utafiti mkubwa kwa kipindi cha week moja nimegundua aya mambo yafuatayo .
Ukipita mitandaoni utagundua asilimia kubwa ya lawama dhidi ya mapenzi na ndoa utaona wanaume ndo wanaongoza kuwalaumu na kuwatuhumu wanawake katika mambo mengi.
Ila ukija katika jamii yetu namaanisha yale maisha halisi utakuta wanawake ndo wanawalaumu wanawake kuumia na kuteswa sana.
Eti jamani ni kwanini wanaume tuongoze kwa lawama mitandaoni na katika Marsha ya kawaida sisi ndo wabaya?