Habari za leo wana JF,
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37 natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke anatakiwa awe ana umri kati ya miaka asizidi 34, akiwa hana ama ana mtoto ni sawa. Mimi ni...
Salam wanajamvi,
Utamu ni utamu tuu, hata uende wapi utabaki kuwa utamu tuu...
Ukweli ni kwamba mapenzi ni chanzo cha furaha duniani, na mapenzi maridhawa huondoa msongo wa mawazo na huchangia...
Dunia ni mzunguko, ipo siku itakugusa tu...Sasa imefikia mrembo huyu alokuwa anajiam,ini wakati wake..
Ulipo kuwa chuo ulikuwa unatembea na mume wa mtu, Leo umeolewa hutaki mumeo achape wasichana...
Ni kweli kuna familia nyingi zimehukumiwa wasiingie kwenye ndoa, hata wakiingia ndoa zao hazidumu wala kuwa na furaha na amani na hukumu hii siyo kwamba wamehukumiwa na Mungu lahasha wamehukumiwa...
Hello, hope mko poa wana JF,
Am looking for girl friend who is residing here in Dar. Age should be btn 25 and 30 inclusive, Christian na awe angalau mrembo wa kawaida na awe mrefu.
Personally...
Turudi kwenye mambo ya ndoa sasa, unakuta mume akipost kitu fb, mke ana-like au kucomment kiroho safi tu. Au wakati mwingine vice versa is true.
Kweli umeoa /umeoa na unamwona mwenzio Facebook na...
Salam nyote.
Kwa kuwa sisi sote n wadhambi na kama kuna laana fulani ya kutembea na mke /mme wa mtu, soma hapa vzr ili kukwepa fumanizi ndugu yangu.
Note: Mke wa mtu n sumu, mme wa mtu ni...
Nadhani sasa itanibidi tu ama nimfunge Kizazi au nitafute tu Mwanamke Tasa ili niondokane na hizi adha au kero ninazozipata kila mara Mpenzi wangu akiwa na Mimba yangu kwani kwa aina ya maudhi...
Waungwana salaaaam,
Last week nilienda hospitali kufanya kipimo cha Sperm analysis kujua kama mbegu zangu za kiume ziko oky katika hospitali kubwa tu hapa Dar na ni ya praivet, leo ndio nimeenda...
Habarini za usiku huu wana MMU! Sina mengi saana ila tu ni ujio tu wangu humu ndani, maana jogoo la shamba haliwiki mjini, xo nkishazoea ntawika, usiku mwema wapendwa.
Nawasilisha kilio changu jamani haiwezekani demu nimtongoze ananikubalia anakuja ghetto namkojoza vya kutosha lakini mwisho wa siku ananiacha eti mi maskini Sina hela
Sasa nasema hivi poa mi dume...
Hello wana JF,
Naitwa Salehe Jafary natafuta mke mwema wa kuanza nae maisha, elimu, dini sichagui ili mradi awe mwenyeji au anapenda kuishi Mwanza, Simiyu. Umri miaka 19 hadi 25.
Aliyetayari...
habarini wakuu?
mimi ni kijana wa kiume kuna msichana yupo hapa mtaani ni mzuri kiasi nishawahi kumtokea au kumtongoza akaniambia ana mtu basi urafiki wa kawaida ukaendelea lakini cha kushangaza...
tunazungumza kuhusu mapenzi,
Suala la kusaidiana si la upande mmoja. Linaweza kuwa kwa wote, kwa mwanaume au mwanamke. Ni kati ya nguzo muhimu katika mapenzi, lakini kwa bahati mbaya kuna wale...
Naitwa Juma Pombe Maharage kwa nipo Kagera kikazi kuna jambo moja linanisumbua sana naombeni ushauri wenu nimekuwa kwenye mahusiano ya kipenzi sasa zaidi ya miaka saba lakini jambo limenishangaza...
Wakuu hbrn za kazi.
Kwanza nimshukuru Mh. Rais kwa kumuachia huru Ney Wa mitego.
Sasa niende kwenye mada, naomba mtaalum mmoja anifundishe kuitikia mitongozo toka kwa men. Nimekuwa kwenye wakati...
Wadau naomba tujadili kidogo hili suala la Uchepukaji uliokithiri Kwa sasa na kutishia uvunjifu wa ndoa nyingi Na mahusiano pia ugonjwa hatari wa Ukimwi.Chambo kikubwa cha uchepukaji ni pamoja Na...
Habarini za asubuhi wandugu,
Kwa yeyote mwenye hitaji kama langu naomba tuwasiliane pm. Mimi ni Ke age btn 26 -28. Nipo Dar kabila mchaga dini christian.
Mwanaume ninayemtaka awe na age at least...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.