if not now
Senior Member
- Mar 4, 2017
- 186
- 171
Habari za saa hizi wakuu na poleni kwa mchaka mchaka wa siku nzima..
Najogea mahali hapa nikiwa nahitaji mawazo yeye wanajf wenzangu. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili(chuo kapuni) nina huyu rafiki yangu wa kike ambae nasoma nae coarse moja sasa huyu dada nipo nae close sana kiasi kwamba nimeanza kujisikia tofauti sana ninapokuwa nae karibu kiufupi nimejikuta nafall inlove kwake na hili ndio tatizo lenyewe maana huyo dada anaboy wake na nasikitika kusema kwamba wanapendana sana. Jamaa ananifahamu kutokana na kuwa close na girlfriend wake. Natamani sana kumwambie ukweli lakini naogopa kumwambia sipendi kumkwanza na sitaki kuua urafiki wetu.
Wakuu naomba kama kuna njia ya kutoka kwenye hili jaribu anionyeshe.