Je unaweza kumkinai unaempenda?

nelsonkiv

Member
Feb 27, 2015
8
3
Napenda kujua ikiwa ulikuwa unampenda kwa dhati halafu yeye anakuwa hajali unaweza ukamkinai
 
Japokuwa wanasema true love never die lakin mi naamin upendo unaisha kadri mtu anavypkutenda/alivyokutenda
 
Moyo hufa na Upendo unapotoweka chuki na hasira hutawala hapo ndipo mwanzo Wa kumkinai mtu huanza and regrets kumtawala mtu
 
Napenda kujua ikiwa ulikuwa unampenda kwa dhati halafu yeye anakuwa hajali unaweza ukamkinai

Unaweza ukakinai kitu lakini huwezi kukimai mtu. Unaweza kukata tamaa juu yake lakini sio kumkinai. Unapokata tamaa juu yake upendo nao huanza kupungua taratibu na hatimaye hutoweka kabisa.
 
Mapenzi yana sumu moja kali sana na chanzo cha kufa kwa upendo kati ya watu wawili.

Pia chanzo cha dhambi zote na shida zote duniani..

UONGO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom