Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau habari zenu. Samahanini kwa usumbufu. Huwaga napendelea sana kunywa bia hasa castle lite. Tatizo nilokua nalo nikuwa kadiri ninavyoendelea kunywa na hapohapo napata mafua. Yani sielewi kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa, Naomba msaada, mimi na mme wangu ni discordant couple, tuligundua miaka 2 ya nyuma wakati mimi mjamzito na tulipoenda kupima ndio tukapata majibu hayo, tuna mtoto 1 na sasa...
2 Reactions
92 Replies
12K Views
Kuna jambo nimekutana nalo limenishangaza mno nimeona nililete hapa na watu wengine waeleze uzoefu wao... kuna watu wawili tofauti nawajua..... inasemekana hao watu ni wagumba... licha ya kuoa...
4 Reactions
94 Replies
9K Views
Habari zenu wanajamii. Muda wa kukubaliana kati ya mwanamke na mwanaume baada ya kutongozana unatofautiana kwa kila couple. Nahitaji kujua ulitumia muda gani kumpata uliyenae!?
0 Reactions
80 Replies
5K Views
Kwa upande wangu naona ni watu tu wameamua kuwaponda kinadada wa Kimeru.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Naomba kuuliza hivi kwanini matangazo mengi yanayoonyesha kutibu tatizo la nguvu za kiume hutumia picha za dushe kubwa nene na ndefu. Je kuna uhusiano gani kati ya ukubwa wa...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
1. Kabla ya mtoko mpenzi wako anakuomba umtumie hela ya salooni ( unatuma ) 2. Ili aweze kuja hapo ulipo na unapoelekea unaombwa hela ya bajaji au texi unatuma ili aje muonanee. 3. Mkitoka...
8 Reactions
66 Replies
5K Views
Msinichoke me ni mwandishi wa Script na Riwaya Last week nikaitwa na rafkiangu, oh njoo kona baa sinza! Nikagomaa kwanza kona bar kumefungwaaa akaniambia we njooo tutakupa story nyau wee Basi me...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Aiseee kuna wanawake sijui hawajielewi? Yaani unamkuta kutwa nzima anashinda kwenye kioo utafikiri anaukoo nacho, kutwa nzima kujipodoa unashindwa hata kukaa na mmeo kudiscuss mambo ya msingi au...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari za leo wapendwa, Niliota na kuwaza siku nitakayosema 'I do', hayawi hayawi yamemkua, nimepata mchumba na ndoa ni baada ya Kwaresma. Tatizo ni kuwa huyu jamaa tumekutana Bongo akiwa...
4 Reactions
59 Replies
5K Views
Ninae mchumba wangu kwa sasa tuna takribani miaka 2 kwao ni tanga Mheza yaani mdigo. Huyu binti toka niwe nae katika mahusiano amekuwa na heshima ya hali ya juu na alinieleza hawezi kunipa puchu...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna wanaume wamelaaniwa kabisa, Naam, tena wamelaaniwa hasa. Unakuta mwanaume ana mke kiwembe ile mbaya hadi tigo anagawa lakini jamaa limekomaa naye utadhani linapata uhai kila linapokula...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nitafute wakati una huzuni, nitafute wakati hamna wa kukusikiliza. Sijali kama mimi ni kimbilio lako la mwisho, bali sipendi ulie peke yako. If love can be avoided simply by closing our eyes, I...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Poleni Sana madada wa zama hizi wenye umri wa kuanzia miaka 30 na kuendelea. Mliochezea fursa. 1. Ulivyokuwa una miaka18 mpaka 22 walikuja waposaji ukasema bado unasoma. Au Wazazi wako...
13 Reactions
147 Replies
17K Views
Ninae mchumba wangu Kwa sasa tuna takribani miaka 2 kwao ni tanga mheza yaani mdigo. Huyu binti toka niwe nae katika mahusiano amekua na heshima ya hali ya juu na alinieleza hawezi kunipa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari kuna jambo linanishinda hapa. huyu mwanamke anapenda mapenzi sana mpaka nataka nihame nyumba. kitu kinachonishinda nikiwa faragha na huyu mwandani wangu.... nikishamaliza huwa nakuwa...
13 Reactions
300 Replies
39K Views
Dunia haiishi visa, Week iliyopita ni dada mmoja yalimkuta, Ana mpenzi wake waliahidiana mengi ikiwemo kuoana. Dada anafanya kazi na mkaka japo ni 35 ukaka unakaribia kuisha anajiendeleza...
3 Reactions
48 Replies
6K Views
Ningependa kufahamu dalili ya mwanamke kukutaka kimapenzi ni zipi maana kukuambia moja kwa moja hawezi kufunguka.
1 Reactions
68 Replies
17K Views
Back
Top Bottom