scientificall
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 457
- 326
Ninae mchumba wangu Kwa sasa tuna takribani miaka 2 kwao ni tanga mheza yaani mdigo. Huyu binti toka niwe nae katika mahusiano amekua na heshima ya hali ya juu na alinieleza hawezi kunipa tamu(puchu) mpaka tuoane kwani yupo thabiti na dini yake na amenimbia marakwamara kua kama ni mapenzi na kuhendle mwanaume amefunzwa unyagoni hivyo nijiandae Kwa mapenzi mbashara. Najaribu kumuuliza mara Kwa Mara kuhusu tamaduni zao katika maswala ya kuoa au kuolewa ananagoma kuniambia ispokua ananambia nijiandae hapo kiukweli nashindwa kumuelewa na sitaki kumuacha kwani nampenda na nahitaji kujua tamaduni zao. Tunaishi separate
Ushauri wenu nifanyeji nsimukose huyu binti wa kidigo. Nawasilisha
Ushauri wenu nifanyeji nsimukose huyu binti wa kidigo. Nawasilisha