Nitafute Wakati Una Huzuni

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,267
29,914
Nitafute wakati una huzuni, nitafute wakati hamna wa kukusikiliza. Sijali kama mimi ni kimbilio lako la mwisho, bali sipendi ulie peke yako.

If love can be avoided simply by closing our eyes, I wouldn't blink at all for I don't want to let a second pass having fallen out of love with you.

Nakupenda Wewe Mtoto wa Kike

Plz Amin Hisia Zangu
 
Nimekuapata!

Ila Kama unanichukia, nichome na Kisu, lakini tafadhali si moyoni sababu hapo ndipo wewe ulipo.

Someone asked what makes people happy.

Some said wealth and some said fame. I was thinking about this when my cell phone beeped and received a text from you.

Then, I smiled and said: "This makes me happy
 
....

If love can be avoided simply by closing our eyes, I wouldn't blink at all for I don't want to let a second pass having fallen out of love with you.

...

Mwanamke akiniandikia hizi quotes hua namkwepa hapo hapo. Hii ni dalili ya maigizo.
Ps. Najua mleta uzi ni me
 
jitahidi uwe unatunga mistari yako mwenywe, hii ya ku google inakua less romantic maana manzi mwenywe alishaisoma huko kwenye websites.
 
Mwanamke akiniandikia hizi quotes hua namkwepa hapo hapo. Hii ni dalili ya maigizo.
Ps. Najua mleta uzi ni me
kuna mwanamama alinitumia text ya mtindo huu bila kucheki mwishoni aliyemtumia mwanzo aliandika "from John". Nikamwambia chek hapo mwisho wa sms uliyonitumia akawa mbogo, yaani madame ni wa ajabu sana sometime
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom