Kuna mahusiano gani kati ya pombe na mafua?

ankol

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
2,292
4,038
Wadau habari zenu.
Samahanini kwa usumbufu. Huwaga napendelea sana kunywa bia hasa castle lite. Tatizo nilokua nalo nikuwa kadiri ninavyoendelea kunywa na hapohapo napata mafua.
Yani sielewi kwa nini hali hii hunitokea kila mara navokunywa.
Naombeni ushauri kitu gani nifanye ili hali hii isinitokee maana napenda ninywe at list kama leo hapa niko baa bia ya nne tu mafua yashanishika mbaya.
 
Mambo ya kawaida tu hayo!
Ukiona mafua ujue Pombe ndio zimeanza kufika kileleni mkuu,
Kuna wengine zipu hufunguka,
Wengine kiingereza kinapanda,
Wale wa kuruka majoka mizuka inapanda,
 
Back
Top Bottom