Habarini wanaJF.
Niende kwenye mada bila kuchelewesha muda, ni hivi kuna jirani yangu ambaye kabla ya kuolewa na mume aliye naye alikuwa tayari amezaa mtoto anayeitwa Mary na bwana mwingine...
Kuna wengi wetu ambao kutokana na kutafuta fedha, ndoa zetu zimekuwa kama aina fulani ya biashara. Mwanamke au mwanaume anaweza kuishi kwa mwaka mzima, bila kukaa na mwenzi wake hata angalau kwa...
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea,
Mimi ni binti mrembo tu nina kazi yangu nzuri namshukuru Mungu, nimepita kwenye mahusiano kadhaa changamoto hazikosekani, nimekutana na wenye uwezo...
Habari wanajamvi,
Mimi ni msichana umri miaka 26, muislamu, elimu ya chuo kikuu, muajiriwa serikalini. Natafuta mchumba umri 32+, muislamu mwenye hofu ya Mungu, elimu ya chuo kikuu, kabila lolote...
Habari za asubuhi wana JF !!
Mimi binafsi niligundua kuna uhusiano wa jina na mapenzi,pia nimejaribu kuuliza na kuwafuatilia baadhi ya rafiki zangu nikaona kuna ukweli fulani juu ya hili. Ingawa...
Inawezekana ukawa na mawazo sana baada ya kupima na ukakutwa na virus vya HIV ila pitia hapa ujifunze kitu binafsi.
Huu ni ushuhuda wangu kwako baada ya mimi kupima na kukutwa na hivi virusi...
Mwanamke mmoja alikuwa akifanya kazi katika kiwanda cha kusindika nyama. Siku moja baada ya kumaliza kazi zake pale kiwandani alienda katika chumba chenye freezer (Cold Room) ambako nyama zilikuwa...
Episode I
Siku ya jana nilipata mwaliko warafiki yangu wa hapa JF ambaye pia ni mkuu wa itifaki wa ile mikutaniko yetu yapale Leo Tupo Hapa Pub. Alinialika tukutane katika kijiwe kimoja pale...
Habari za mchana wana JF,
Tumanini langu nyote ni wazima wa afya na wale wenye mitihaani mbali mbali nawaombea kwa mola mlezi awape takhfifu.
Tukirudi kwenye mada yangu,
Stori yangu ni iko...
Mathematical differences:
2+5=7
6+1=7
3+4=7
7-0=7
7+0=7
9-2=7
8-1=7
11-4=7
15-8=7
14/2=7
21/3=7
70/10=7
7x1=7
What is my point??
My point is that there are so many ways of getting to your final...
How can you not love this father-daughter combo?
Leah Still is a soldier. She kicked that scourge's ass like nobody's business. Way to go girl.
Devon Still epitomizes everything a great father...
Baada kupitapita sehemu nikakutana na mada hii ya kauli ya mdada aliyekupenda na asiyekupenda......
MDADA ANAYEKUPENDA KAULI ZAKE. ZIPO HIVII.
1.bby tafadhali usiwe na mawazo vumilia...
Mimi ni msichana mwenye umri 31. Elimu Degree, nimeajiriwa serikalini, na ni mkristo.
Nahitaji mwanaume ambaye yupo tayari kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita...
Ni matumaini yangu mu wazima wana JF!
Sisi ni wanamme, na kila mmoja anatambua uanamme wake mwenyewe bila shaka,kinachosikitisha ni pale mwanamme anapojitoa ufahamu kutaka kuthibitisha uanamme wa...
Sawa punyeto ni nzuri pale unapokuwa na hamu ya kufanya mapenzi wakati upo mbali na mpenzi wako au unapokuwa single lakin sidhan kama inaweza kukuridhisha kwa asilimia mia moja hadi ikufanye...
Ni binti fulani ambaye nilitokea kumpenda mbaya, ila alikuwa akinifanyia kiburi,Sababu alijua nampenda Sana, Dah kipindi flani nilikuwa nikimtumia sms hanijibu lakini nikiingia whatsapp namkuta...
How To Check If Your Partner Is Cheating On You | Jinsi ya kuangalia kama mpenzi wako ana cheat
How To Check If Your Partner Is Cheating On You.
*1*Take their phone and secretly get their IMEI...
Habari. Kuna ndugu yangu wa kiume anaitwa denis. Achagui dini. Ila mkristu angefaa zaidi.Ana miaka 36. Yuko serious anatafuta mchumba mwanamke mwenye umri kwanzia 21 baadae aje awe mke. Yeye kazi...
KANUNI 30 KWA WANAWAKE NDANI YA NDOA
1). Usinyanyue sauti mbele ya mumeo kwa sababu yoyote ile. Hiyo ni ishara ya utovu wa heshima.
2). Usifichue udhaifu wa mumeo kwa familia na marafiki zako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.