Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,682
1. Kabla ya mtoko mpenzi wako anakuomba umtumie hela ya salooni ( unatuma )
2. Ili aweze kuja hapo ulipo na unapoelekea unaombwa hela ya bajaji au texi unatuma ili aje muonanee.
3. Mkitoka out pamoja unakodi texi hadi eneo husika mwanaume unalipaa.
4. Mnaingia club au beach au wapi unalipaa kiingiliooo
5. Mkiwa ndani unalipia bill ya msosi na vinywaji.
6. Muda ukiwa umeenda mnatoka mnaenda lodge mwanaume unalipia chumbaa.
7. Mnamaliza asubuhi unaagizia supu na mchemsho kukata hang over ya bia za Jana mwanaume unalipaaa.
8. Kabla hujamrudisha binti wa watu kwao unaombwa hela ya matumizi mwanaume unatoaaa
9. Ukishamaliza unamlipa bajaji hela ya kumrudisha kwaooo.
Ukipiga hesabu yote tangia jana ni laki tatu dah maisha haya kweli tutaendelea vijana na aina hii ya mapenzi hii ya kila weekend