Tunaanza kwanza na Maswali. Unataka awe mpenzi wako kabisa au unataka akugegede tu kisha upite zako hivi? Maana kila moja wapo hapo juu ina mbinu tofauti.
Pili, kama unataka awe mpenzi wako kabisa.... Je, umeshafanya uchunguzi na kujua kama anaye mpenzi wake? Kama jibu ni ndiyo na ana mpenzi, unafikiri Mungu anajibu maombi ya ajabu hivyo? Yaani aachwe yule aje kwako? Badili maombi ndugu.
Tatu, wewe unampenda kaka kwa sababu ni Mcha Mungu tu ama kuna lingine? Kama hakuna lingine, je hakuna wakaka wengine wacha Mungu u unaoweza kuwa nao?
Tafuta ka million Nenda hotel Kali iv.. Afu mualike Lara moko, Miss chagga na Miss natafuta..wakupe darsa Hata Ucku hautaisha ushapata Vyote Mpaka Kwichikwichi.
Hebu kabla ya yote jaribu kumchunguza kwanza ni mtu wa namna gani, anapenda nini, ratiba zake kiujumla, marafiki zake, ikiwezekana timba kanisani kabisaaaa anakosali ili uweke ukaribu nae kwanza....
Attraction has no choice bidada hata siku moja usilazimishe mwanaume akupende hilo pendo litakuwa la mwendokasi lazima kunakituo chake,talking from experience hakuna hata msichana mmoja aliyevutiwa na mimi nliwahi mpenda despite walifanya kila sarakasi ili tuwe pamoja ilishindikana iko nguvu kubwa inayotoka kwa mwanamme anapompenda mwanamke,hata siku moja kama mwanamme hujamvutia usihangaike atakufanya kama mazoezi na asepe,tulia upendwe mwanamke wacha mbwembwe na hisia nyingi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.