scientificall
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 457
- 326
Ninae mchumba wangu kwa sasa tuna takribani miaka 2 kwao ni tanga Mheza yaani mdigo. Huyu binti toka niwe nae katika mahusiano amekuwa na heshima ya hali ya juu na alinieleza hawezi kunipa puchu mpaka tuoane kwani yupo thabiti na dini yake na amenimbia mara kwa mara kua kama ni mapenzi na kuhendle mwanaume amefunzwa unyagoni hivyo nijiandae kwa mapenzi mbashara.
Najaribu kumuuliza mara kwa mara kuhusu tamaduni zao katika maswala ya kuoa au kuolewa anagoma kuniambia isipokua ananambia nijiandae hapo kiukweli nashindwa kumuelewa na sitaki kumuacha kwani nampenda na nahitaji kujua tamaduni zao.
Tunaishi separate.
Ushauri wenu nifanyeji nisimkose huyu binti wa kidigo.
Nawasilisha