Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,280
- 16,556
Msinichoke me ni mwandishi wa Script na Riwaya
Last week nikaitwa na rafkiangu, oh njoo kona baa sinza! Nikagomaa kwanza kona bar kumefungwaaa akaniambia we njooo tutakupa story nyau wee
Basi me nikaenda kufika hamadi, rafkiangu yupi na mchepukooo, namwuliza bro shida iko wapi labda?! Si una mke nyumbani?!
My Friend: yani we acha tu, kuna vitu anafanya mke wangu kuna vitu lazima tutafute msaada tutani, mke hawezi atachoka mapema na nitamzeesha buree
Money Penny: tobaaaa bwana kwaheri me staki kukutwa hapa
Nikaondoka njia nzima nawaza, je hili alilosema linaweza kuwa kweli?!
Je ni bora umwachie mwanaume achepuke tuu wala wanawake tusilalamike?! Lakini kuna magonjwa gadame! Wai, akili ikachokaa
Eti wana JF mnasemaje maana me akili mpaka leo inawaza, yule jamaa huenda alikuwa na sense nikamkimbia