Mkuu nijibu kwanza hayo maswali nijue jinsi gani nianze kukusaidiaUnaweza kusoma sanaaa ukafaulu masomo yote lakini somo linalohusu mahusiano na mapenzi ukawa kilaza, siyo mbaya tukashare mawazo kwa ufahamu wa zaidi....
Woyooooooo....Mwanamke ambaye anakutaka kimapenzi
1. Hucheka pasipo sababu akikuona
2. Huvaa nguo za kimitego uwapo karibu
3. Huanzisha mada zihusuzo mapenzi au huweza kuzungumzia mahusiano yake yaliyopita
4. Hukusifia mara kwa mara
5. Kukusogelea mwilini
6. Kukutania kuwa huwezi kumfikisha mkiwa sita kwa sita lengo utake kwenda kuonyesha unaweza
Mapumziko ya pasaka ,,msaidieni tuuUna umri gani?
Lini umeanza mapenzi?
Ndo kamaliza baleheUna umri gani?
Lini umeanza mapenzi?
Dada Husna mbona umeshangilia hivyo nimekosea au ?Woyooooooo....
Naona imepenyaWoyooooooo....
Nyongeza Atakuwa anakudadisi sana kuhusu maisha yako ya kimahusianoMwanamke ambaye anakutaka kimapenzi
1. Hucheka pasipo sababu akikuona
2. Huvaa nguo za kimitego uwapo karibu
3. Huanzisha mada zihusuzo mapenzi au huweza kuzungumzia mahusiano yake yaliyopita
4. Hukusifia mara kwa mara
5. Kukusogelea mwilini
6. Kukutania kuwa huwezi kumfikisha mkiwa sita kwa sita lengo utake kwenda kuonyesha unaweza
Eeenhe umenikumbusha na hii yap ni kweliNyongeza Atakuwa anakudadisi sana kuhusu maisha yako ya kimahusiano