Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari JF Kuna demu mmoja nilkua nachati nae as a friend tuu hatujawahi kua na mahusiano ya mapenzi Sasa juzi nikamtmia picha ya WiFi yake whatsap daaah skuamini alini kasirikia hatari na...
2 Reactions
53 Replies
5K Views
What's good JF-MMU nation. I hope y'all are hunky-dory just as I am. So let's get right to it and set aside all pretenses, fronting, machismo, the fear of honest emotions, the usual BS and talk...
17 Reactions
47 Replies
6K Views
Watu wengi huwa wanapata picha kuwa watu wa dini, wachungaji, waimbaji wa nyimbo za injili kuwa huenda wao maisha yao ya ndoa huwa yanakuwa na amani na furaha tupu lakini mwimbaji Upendo Nkone...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Wadada wengi wamekuwa wakilalamika kuwa hawakati kiu zao za mambo ya kikubwa, wao huita kufika kileleni. Lawama zote wamekuwa wakizitupa kwa wenzi wao wa kiume. Lakini ukweli tatizo la wanaume...
6 Reactions
90 Replies
8K Views
Naomba kujua kama kuna madhara yeyote kumwambia mtu anaekupenda sana kua hujskii wala huinjoi kuwa nae maana kuna mtu ananpenda sana ila mm smpend hata kidogo anataka tuoane mimi moyo wng hauko...
2 Reactions
63 Replies
8K Views
Mwanaume kupitiliza siku nzima bila kufikiria kugegeda au Mwanamke kufikiria kugegedwa....Tuwe wakweli jamani!
2 Reactions
42 Replies
3K Views
[emoji121] Wakuu, Kufuatia kushamili kwa mijadala ya single mothers humu ndani, Ni vema leo single fathers tupeane kunga za kujadili mustakabali wa kuwalea watoto wetu kiufasaha. Tunawezaje...
7 Reactions
49 Replies
5K Views
Mimi ni kijana miaka 30.Natafuta mchumba rangi, umbo, elimu sio kigezo ili awe anajielewa,anajitambua asiwe tegemezi awe mchapakazi. Kama unaona uko tayari ni pm tuwasiliane. Kwa wale wa masihara...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa uongozi wote wa Jf, Binafsi nmekuwa msomaji mkubwa sana wa jf (As Guest User) mpaka kipindi hiki nilipopata msukumo wa kumtafuta mwenza wa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
*Kama utaona kwenye profile yangu nmeandika niko dubai na baada ya muda ukakutana na mm,basi tambua na ww uko dubai,tusifanye mambo kuwa magumu*
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 natafuta mke wa kuoa aliye serious kwa ndoa awe na umri wa miaka Kati ya 20-28 aliye tayari tuwasiliane pm tafadhari asanteni
0 Reactions
3 Replies
818 Views
1. Hofu ya kuishi peke yao Wanawake walionyesha kuwa na hofu sana ya maisha ya upweke. “Mwanamke aliyeolewa akiwa na miaka 23, akakaa kwenye ndoa miaka 20 na kuendelea siyo rahisi sana kujikata...
9 Reactions
57 Replies
50K Views
Habari za asubuhi wanajamvi wa MMU, Naombeni msaada wenu wa dhati kupata hoteli ya gharama nafuu kidogo sehemu za msasani au masaki. Leo ninataraji kuwa na outing na ningependa kufanya kitu...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
STORY: Historia Batili(Fake History) MTUNZI: Jumaa Khatib Mdharuba +255 718 274 130 Season 01-Episode 02...
9 Reactions
504 Replies
127K Views
Ni pale unapokuwa mwenye huruma na kumjulia hali mpenzi ambaye kwa kipindi hicho anakuwa ktk kipindi cha kuruka angani anakuwa na maumivu flani ya tumbo (Isfahan kama ni kwa wote) lakini upande wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana jamvi, Zimepita kama siku 3 au 4 kuna mwana jamvi mmoja alileta uzi unaoonesha majibu ya mwanamke anaekupenda na asiekupenda kwa mfano kama ukimtumia pesa au vocha. Kwa upande wangu...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
(1) Muongo: mwanamke muongo ni mwanamke wa kukwepa zaidi ya Ébola. Mwanamke wa aina hii hulazimisha uongo uwe ukweli na ukweli uwe uongo hata kama uongo wenyewe uko wazi . (2) Muongeaji...
8 Reactions
27 Replies
9K Views
Habari zenu wapendwa. Naamini JF ni sehemu nzuri sana ya kufahamiana. Nimeshuhudia watu waliooana kipitia jf.Hivyo nami naamini nawezapata mke kupitia humu. Mimi nina 43yrs. nimejiajiri, mrefu...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Kwa nini wanawake wanakua hawana hamu ya tendo la ndoa yaani hata kama akikupa unajitahidi kumuandaa lakini hazimpandi yaani inafika mpaka KITU kiko ndani lakini wapi Na mwanaume akiliona PAJA...
3 Reactions
62 Replies
5K Views
Salamu kwenu wana bodi. Hili jambo limemkuta kijana wa rafiki yetu,nikiwa kama rafiki wa baba yake akaona vyema aje kutoa dukudukdu lake kwangu. Kwa kifupi huwa sina muda na masuala ya familia za...
0 Reactions
2 Replies
928 Views
Back
Top Bottom