Ulitumia muda gani kumpata uliyenaye?

Girland

JF-Expert Member
Jan 24, 2016
2,489
4,240
Habari zenu wanajamii.

Muda wa kukubaliana kati ya mwanamke na mwanaume baada ya kutongozana unatofautiana kwa kila couple.

Nahitaji kujua ulitumia muda gani kumpata uliyenae!?
 
Back
Top Bottom