Nyangeta Mussa
Senior Member
- Dec 8, 2014
- 199
- 127
Habari wanajamvi,
Naomba kuuliza hivi kwanini matangazo mengi yanayoonyesha kutibu tatizo la nguvu za kiume hutumia picha za dushe kubwa nene na ndefu.
Je kuna uhusiano gani kati ya ukubwa wa dushe na nguvu za kiume? Na je wenye dushe ndogo nguvu zao pia ni ndogo au ni nini hasa kinachotumika kama kigezo ".
Asanteni