Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,437
- 4,146
Aiseee kuna wanawake sijui hawajielewi? Yaani unamkuta kutwa nzima anashinda kwenye kioo utafikiri anaukoo nacho, kutwa nzima kujipodoa unashindwa hata kukaa na mmeo kudiscuss mambo ya msingi au kupeana mahaba.
Unamkuta mwanamke kutwa nzima anapaka carrolite lotion au cream mwisho wasiku ngozi inakua kama papai lililo iva aisee!
Nikwambie kitu, wanaume wengi wanapenda ngozi natural na ukiangalia wewe uliye kama papai mnaishiwa kuchezewa maana umejiweka special kwajili hiyo. We mwanamke umejipodoa hadi unampa shida mpenzio kama mnatembea kwenye jua kali unataka ujifiche kwenye miti kisa unaogopopa kuungua na jua unataka kuwa nyani?
BADILIKENI BHANA MWANAMKE NGOZI NATURAL NDO KILA KITU
WANAWAKE KAMA HAWA WAPO HAWAPO?