Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nina mpenz wangu tnapendana sana lakin kanizidi umri mmoja Sasa wanadai ni vbaya msichana kumzid mvulana so nlikua naomba ushaur jaman
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Heri ya pasaka wakuu Naomba tujuzane hili kuhusu umri sahihi Kwa mtoto wa kike kupata mume/mtoto Manake Siku hizi nashangaa kumwona binti hadi anagonga miaka 30 bado anaendekeza bhata,kutoa toa...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari wapendwa, Kwa dhati ya Moyo wangu nawatakia pasaka njema yenye furaha na amani. Kuna hii tabia ya wanawake hasa wamama, kwa kweli nisingependa siku hii ya pasaka ikapita huku nikiwa na...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Poleni na hiki kibaridi, Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, Je, uliwahi kutekwa au kumteka kimapenzi uliyenae, au uliyeachana nae? Wauzungumziaje uhusiano wenu ulivyokuwa? Je...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Writer (darasa la mapenzi). Kila mtu hapa ulimwenguni ameumbwa na sifa tofauti tofauti. Kuna wengine wameumbwa na tabia za kuridhisha na wengine wameumbwa na tabia ambazo hazifurahishi. Hii pia...
6 Reactions
20 Replies
4K Views
Team popo hv mapenzi ya hivi Africa yapo? Kama yapo ni nchi gani niwahi maana tz hakuna Enrique Iglesias - Hero
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Najaribu tu kuwaza ndani ya kichwa changu haya maisha kama yasingekuwa mapenzi ingekuwaje, Dunia tungeiona Tamuuu, tungekuwa na furaha au mda mwingi tungekuwa tunahuzunika mi sijui nawaza tu...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari za asubuhi Kuna Jambo linakera saana kutoka kwa wanaume wa siku hizi wamekuwa ni watu wasiojiongeza hata kidogo, Kuna mkaka alikuwa ananitaka kimapenzi ana kazi kubwa tuu ya kuheshimika...
14 Reactions
223 Replies
15K Views
Habari za jumapili ndugu zangu..... Hakika kichwa cha habari kinashangaza kama sio kustaajabisha.....kinashangaza kwa kuwa hilo tatizo limefanywa kuwa kama ugonjwa wa taifa kana kwamba ngono ni...
8 Reactions
17 Replies
8K Views
Wakuu jana nilikuwa namdodosa mtarajiwa wangu juu ya vitu/mali inayotakiwa nikitaka kubeba jumla!! Yaan kwa haraka hara inaenda kwenye million 2 hivi, sasa hapa nimewaza kama mambo ndo haya watu...
2 Reactions
102 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu.... Wiki iliyopita nilikutana na msichana mzuri sana mrefu mweupe. Hajajazia sana ila kiukweli nimempenda anavutia. Alikuwa anapita maeneo ya hapa na biashara zangu, nikampiga...
3 Reactions
213 Replies
14K Views
Kwa wiki nzima nimekuwa nikifuatiliza mada za humu ndani. Nimekuta kwamba house girl wengi wamekuwa sehemu ya kujifunzia mapenzi kwa watoto wa mama, jirani, ndugu wa karibu, n.k. Mabeki tatu...
6 Reactions
45 Replies
10K Views
Kama heading ilivyo hapo juu kwa muda mrefu nilikuwa na uhusiano binti flani kiukweli alinipenda sana (nisiwe mnafiki kwa hili ) sababu hakuwa na tabia za wanawake wa cku hizi kama kuomba hela na...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Nina swali wana MMU. Mwanamke kuumwa na vichomi au tumbo baada ya kugegedwa husababishwa na nini?
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Wanawake wengi sana huwa hawafiki kileleni, hii si Tanzania tu bali ni tatizo la dunia nzima. Kwa maana nyingine wanawake wengi hawafurahii tendo la ndoa ila hutumika kumfurahisha tu mwanaume. Kwa...
0 Reactions
192 Replies
35K Views
Usimtendee mwenzako usichopenda kutendewa
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wanaJF!? Natumai mko poa. Inatokea mnaweka pamoja mipango kadhaa ya maendeleo na binti unayetarajia kumuoa, ili kutimiza mipango hiyo unatoa robo tatu ya mtaji nayeye anatoa robo tu...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Hawa viumbe kwa kweli wanaukakasi sana au niseme tuu sijui ni laana au laa hivi kiukweli una dem na umemmis sana mnakubaliana muonane mfanye yenu alafu anakuja mnakaa mnakunywa mnafurahia...
1 Reactions
151 Replies
21K Views
Najua watu wengi wanahitaji kufahamu maana ya hili neno linalotumiwa sana na watu likiwa na maana ya kuzungumzia uume mdogo MY POINT naomba kuulza ndugu zangu wana JF hivi uume hadi kuitwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika mahusiano kuna purukushani na kukoseana kwingi saana. Wanawake ni watu wa emotions akikereka lazima ujue while men tunaweza kuyaweka..kuyasahau na siku zikaenda. Ila Wanawake wanajua kununa...
24 Reactions
135 Replies
8K Views
Back
Top Bottom