mussa victor
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 116
- 162
Ni ndefu lakini kina dada inawahusu.......................NAOMBA NISEME TU KITU KIMOJA
LEO.
MNIVUMILIE LAKINI NAWASAIDIA.
MAANA MMEZIDI.
Kuna hii tabia mumeo mpenzi
anakuambia mamii twende out for
dinner.
Sasa shoga yangu sijui unakuwa na
shida gani...
Ukiambiwa dinner maana yake ni
utoke sexy.
Uvae nguo fulani hivi za kukufanya
mwepesi. Uvutie.
Maana raha ya Dinner ukirudi home
unaraha zoote mkifika tu home
mnafanya finishing.
Sasa wewe sijui kungwi wako nani...
Unaambiwa dinner inaanza kuvaa
mjitenge wako wenye stif kama tausi.
Lemba kubwaaaaaa....
Mara mikono mikubwa kama
mwavuli...
Limkono la kitenge linaingia kwenye
sahani ya chakula.
Weweeee.... Umeambiwa unaenda
kwenyw mkutano wa Wabunge wa
East Africa ama ?
UNAINGIA HOTELINI WATU WOTE
WANAKUSHANGAA NA MTENGE WAKO
KAMA MOVIE YA COMING TO
AMERICA.....
Mume akinogewa akikugusa mahali
anakutana na mstifu mkubwa tena
wenye waya... jamaniii.. kheeee...
Akikugusa mgongo anakutana na
mjistifu na sponji kubwaaaaa...
Una shida wewe.
Wakipita wake wa wengine unaanza
kuoata hasira mumeo akigeuka..
inahusu.
Mtoto mdogo wa miaka 27 umevaa
mjitenge utafikiri unawakilisha
Mashindano ya vitenge Brazil... aaa
bwana msinichoshe mimi.
Sasa bora basi mtenge tu. Kheeee. Na
mjipochi mkubwaaaa.. utafikiri unaenda
kuhesabu kura kama Mitimingi... (penzi
kitovu cha uzembe)
Hivi hujui dinner ukialikwa ni jambo
ambalo liko sexy???
Hahahahahahahahahaha.
Sasa umealikwa dinner unaanza...
oooo naomba tuongeeeee...
Hahahahahaha.
Kabla hujaruhusiwa unaanza kama
kweli unanipenda fungua simu yako.
Nipe password..
Niambia Zulfa ni nani...
Nataka gari....
Na wewe si umtoe dinner yako ya hizo
needs zako.. woiiiiii.
Akiputa dada na gauni lake na marashi
yake unanuna.... unamnunia nani?
uliombwa uvae miwaksi yako na
mistifu pyeeeee.
Hahahahaha.
Umealikwa dinner.... hahahahaha...
unaanza oo nataka safari lager...
pyeeee...
Mnaniaibishaga jamani. Woiiiiii.
MUME ANATAKA KUKUSHIKA KICHWA
ETI OO UTAVURUGA GERE LANGU...
Yale malemba ya kinaijeria..
hahahahaha. Shogaaa una shida.
Dinner na lemba?
Hhahahahahahahaha.
Khaaaaa.
Yale malemba kabae harusini. Tena
harusi ambayo unahusika na utaitwa
mbele kulishwa keki. Hahahhaahahaha.
Shangazi mtu... mama mdogo mtu ...
hahahaha.
Sio keki hulishwi mume kapiga kitu cha
uhakika unakazana na mjitemge wako
wa stifu ..... Big noooo.
Saa ya kucheza mziki ukiambiwa
ukacheze na hubby unaona hata aibu
kusimama na kitenge chako. (Shona
basi hata cha kijanja)
Maana saa ya mziki akishika kiuno
akifikie.. akishika bega aliikie..
hahahahaha. NAWAZA MISTIFU YA
VITENGE KIUNO ANAKIFIKIA SAA
NGAPO.
MSHONO WAKO WA YAKE MABEGA
FULANI YA VITENGE NAWAZA
ANAFIKIA SAA NGAPI BEGA.
Hahahahahhahahaha.
MUME ANAKUAMBIA NINAKUTOA
DINNER MAMII... Sasa sijui ni
kutoelewa ama nini....
UNAANDAA WATOTO NA MASWETA.
Hahahahahaha. ETI UPENDO. SIENDI
MAHALI BILA WATOTO WANGU.
Hahahahahahahaha.
Khaaaaaa.Shikamooni.
Yani kusema a ukweli
mnaniangushaga.
Nafanyaga ziara zangu nikiwa na mr...
Nakuta mtu kagharamiwa dinner hotel
nzuri kanuna kama sijui nini.
Hahahahahahaha.
ANALIPA UNAANZA...
"yani ona unavyochezea pesa..
hunaplan kabisa. Pale Grocery ya
Maimuna bia si elfu 2500/=
Hapa unalipa bia 6000/=
Yani chakula hapa elfu 35000 sahani
kwa kipi?
Pale Sharon bar so tungekula
mchemsho elfu 12 wote na
tungeshiba...
Ulivyo lishamba unasindikiza hiyo
sentensi na msonyooo....
Hahahahahahahaha.
NAWAZA...
UMEVAA MJITENGE WAKO WA STIFU
ZA WAYA.
UMEKUNYWA SAFARI 4+MAANA
UNAKOMOA.
ALAFU UNA HASIRA.
Hiyo sura siipatii picha.
Kama mgombea wa kiti fulani
aliyeshindwa uchaguzi...
Hahahahahahaha.
Ukifika nyumbani sasaa...
Hugusiki wewe..
Misonyo wewe...
Mibeuo ya bia wewe...
Hahahahahaha.
Hasira wewe....
ACHENI KUFANYA MAISHA MAGUMU.
Na kina yakhe walivyo wachokozi
sasa...Wakikuona na mjitenge wako wa
stifu za waya na umekasirika maana
mnanunaga...
Basi anapita pembeni yenu anasalimia..
Hi Mr Denis alafu wewe anakuambia
shikamooo...
Hahahahaha. Unasikiaje kupasuka
moyo.
Ile nasemaga moyo unahama.
Unahamia Kwenye pua.
Hahahaha. Pumzi zinaziba.
Hahahaahahahaha.
UKIONA WENZAKO WAMETUPIA
TUVAZI TWAO TUNANOGA...
MIMACHO KODI..
Unaanza Baba Ndetaulwa yule ni mke
wake kweli?
Baba Bushiri mbona yule
hajakusalimia?
Kheeeee..
ALAFU MUWAGE NA KAULI ZA
MITOKO NA MAJINA YA WAPENZI
WENU.
Mimi wangu namuitaga "Meli" Mambo
ya honey.. bebi kila mtu woiiii.
Naitaga MELI full stop.
Hahahahahahaha.
WATOTO WA SEKONDARI NA
WANACHUO NDO WANAITAGA HONEY
BEBI SWTY...WAKITAKA KUPEWA
KITU.
Mimi sio mwanachuo.
Hahahahahahaha.
MELI. Full stop.
KUNA WANAWAKE HUMU YANI
MKITOLEWA DINNER AMA MKITOKA
HARUSINI NYUMBANI HAMFIKI
SALAMA. LAZIMA ZIPIGWE.
Hahahahahahahaha.
Acha kuvaa mavitenge yako ya stifu na
waya uone dinner ilivyo sexy.
ETI KAMA UNANIPENDA NIAMBIE
ZULFA NI NANI.Hahahahahahahahaha.
Dinner na Zulfa wapi na wapi.
Sasa ndo bahati mbaya apite hata jirani
na kina zulfa.Mama yangu. Ngumi
zinaweza kuanza ghafla. Malaya
umekuja kunisanifisha.. washenzi
wako... hao... umewaita waje
kuniona...hahahahha. machozi debe.
Moyo umehamia machoni.
Hahahahahahahahaha.
WENGINE MOYO UNAHAMIAGA
MIGUUNI NGUVU ZINAISHA MARA
CHINI. UKIZINDUKA IPO HOSPITAL.
Dinner inageuka Pressure kisa
mavitenge yako ya Stifu. Woiiiii.
KAMA UNANIPENDA NIFUNGULIE
BOTIQUE.
Kama mimi mumeo nakujibu nakupa
mtaji wa kwenda congo kununua
vitenge.Maana ndo unavyopenda.
NAWAOMBA JAMANI NIPANIKISHIENI
HAO MAKAHABA PLEASE.
Akija kusalimia akikuambia shikamoo
ukiitikia marahaba mkono uwe kifuani
mwa mumeo.
Yeye ndo moyo ukamhame huko.
Hahahahaha. Aanze UMENIFANYIA
NINI?umekuja kunionyeshea na
mkeo...
Hapo katuma msg... Na ndo kwanzaaa
kamguu kwa chini inamkuna mr. Huku
umemkumbatia.
Mr mwenyewe anamjibu...
NIHESHIMU NIKO NA WIFE.
ANAZIMA NA SIMU.
Ataisomaje namba???
Hhahahahahahahahaha.n n
Sasa nawaza mikono ya mwamvuli
ukimkumbatia mume si kama
amejifunika kitenge..
Mguu unanyanyaaje maana chini ni
karibu kitenge kizima huo mshono.
Woiiiiiiii.
MNAFANYAG MAISHA YA NDOA KUWA
MAGUMU. PYEEEE.
NDOA SI UTUMWA. NI KUJITUMA.
USIPOJITUMA INAKUWA NDOANO.
KWELI UNAALIKWA DINNER UNAPASI
KITENGE CHA MSHONO WA TAUSI???
serious???
Mnajua mnanitani?
Nikikukuta na mtenge wako dinani
nakusalimia.vb
Nakuambia shikamoo. Ubqche kuitika
uone. (Ama mimi unanijua unaweza
kuhisi natania.Nitatuma mtu
akusalimie. Wacha nihamishe huo
moyo.)
Loading....
LEO.
MNIVUMILIE LAKINI NAWASAIDIA.
MAANA MMEZIDI.
Kuna hii tabia mumeo mpenzi
anakuambia mamii twende out for
dinner.
Sasa shoga yangu sijui unakuwa na
shida gani...
Ukiambiwa dinner maana yake ni
utoke sexy.
Uvae nguo fulani hivi za kukufanya
mwepesi. Uvutie.
Maana raha ya Dinner ukirudi home
unaraha zoote mkifika tu home
mnafanya finishing.
Sasa wewe sijui kungwi wako nani...
Unaambiwa dinner inaanza kuvaa
mjitenge wako wenye stif kama tausi.
Lemba kubwaaaaaa....
Mara mikono mikubwa kama
mwavuli...
Limkono la kitenge linaingia kwenye
sahani ya chakula.
Weweeee.... Umeambiwa unaenda
kwenyw mkutano wa Wabunge wa
East Africa ama ?
UNAINGIA HOTELINI WATU WOTE
WANAKUSHANGAA NA MTENGE WAKO
KAMA MOVIE YA COMING TO
AMERICA.....
Mume akinogewa akikugusa mahali
anakutana na mstifu mkubwa tena
wenye waya... jamaniii.. kheeee...
Akikugusa mgongo anakutana na
mjistifu na sponji kubwaaaaa...
Una shida wewe.
Wakipita wake wa wengine unaanza
kuoata hasira mumeo akigeuka..
inahusu.
Mtoto mdogo wa miaka 27 umevaa
mjitenge utafikiri unawakilisha
Mashindano ya vitenge Brazil... aaa
bwana msinichoshe mimi.
Sasa bora basi mtenge tu. Kheeee. Na
mjipochi mkubwaaaa.. utafikiri unaenda
kuhesabu kura kama Mitimingi... (penzi
kitovu cha uzembe)
Hivi hujui dinner ukialikwa ni jambo
ambalo liko sexy???
Hahahahahahahahahaha.
Sasa umealikwa dinner unaanza...
oooo naomba tuongeeeee...
Hahahahahaha.
Kabla hujaruhusiwa unaanza kama
kweli unanipenda fungua simu yako.
Nipe password..
Niambia Zulfa ni nani...
Nataka gari....
Na wewe si umtoe dinner yako ya hizo
needs zako.. woiiiiii.
Akiputa dada na gauni lake na marashi
yake unanuna.... unamnunia nani?
uliombwa uvae miwaksi yako na
mistifu pyeeeee.
Hahahahaha.
Umealikwa dinner.... hahahahaha...
unaanza oo nataka safari lager...
pyeeee...
Mnaniaibishaga jamani. Woiiiiii.
MUME ANATAKA KUKUSHIKA KICHWA
ETI OO UTAVURUGA GERE LANGU...
Yale malemba ya kinaijeria..
hahahahaha. Shogaaa una shida.
Dinner na lemba?
Hhahahahahahahaha.
Khaaaaa.
Yale malemba kabae harusini. Tena
harusi ambayo unahusika na utaitwa
mbele kulishwa keki. Hahahhaahahaha.
Shangazi mtu... mama mdogo mtu ...
hahahaha.
Sio keki hulishwi mume kapiga kitu cha
uhakika unakazana na mjitemge wako
wa stifu ..... Big noooo.
Saa ya kucheza mziki ukiambiwa
ukacheze na hubby unaona hata aibu
kusimama na kitenge chako. (Shona
basi hata cha kijanja)
Maana saa ya mziki akishika kiuno
akifikie.. akishika bega aliikie..
hahahahaha. NAWAZA MISTIFU YA
VITENGE KIUNO ANAKIFIKIA SAA
NGAPO.
MSHONO WAKO WA YAKE MABEGA
FULANI YA VITENGE NAWAZA
ANAFIKIA SAA NGAPI BEGA.
Hahahahahhahahaha.
MUME ANAKUAMBIA NINAKUTOA
DINNER MAMII... Sasa sijui ni
kutoelewa ama nini....
UNAANDAA WATOTO NA MASWETA.
Hahahahahaha. ETI UPENDO. SIENDI
MAHALI BILA WATOTO WANGU.
Hahahahahahahaha.
Khaaaaaa.Shikamooni.
Yani kusema a ukweli
mnaniangushaga.
Nafanyaga ziara zangu nikiwa na mr...
Nakuta mtu kagharamiwa dinner hotel
nzuri kanuna kama sijui nini.
Hahahahahahaha.
ANALIPA UNAANZA...
"yani ona unavyochezea pesa..
hunaplan kabisa. Pale Grocery ya
Maimuna bia si elfu 2500/=
Hapa unalipa bia 6000/=
Yani chakula hapa elfu 35000 sahani
kwa kipi?
Pale Sharon bar so tungekula
mchemsho elfu 12 wote na
tungeshiba...
Ulivyo lishamba unasindikiza hiyo
sentensi na msonyooo....
Hahahahahahahaha.
NAWAZA...
UMEVAA MJITENGE WAKO WA STIFU
ZA WAYA.
UMEKUNYWA SAFARI 4+MAANA
UNAKOMOA.
ALAFU UNA HASIRA.
Hiyo sura siipatii picha.
Kama mgombea wa kiti fulani
aliyeshindwa uchaguzi...
Hahahahahahaha.
Ukifika nyumbani sasaa...
Hugusiki wewe..
Misonyo wewe...
Mibeuo ya bia wewe...
Hahahahahaha.
Hasira wewe....
ACHENI KUFANYA MAISHA MAGUMU.
Na kina yakhe walivyo wachokozi
sasa...Wakikuona na mjitenge wako wa
stifu za waya na umekasirika maana
mnanunaga...
Basi anapita pembeni yenu anasalimia..
Hi Mr Denis alafu wewe anakuambia
shikamooo...
Hahahahaha. Unasikiaje kupasuka
moyo.
Ile nasemaga moyo unahama.
Unahamia Kwenye pua.
Hahahaha. Pumzi zinaziba.
Hahahaahahahaha.
UKIONA WENZAKO WAMETUPIA
TUVAZI TWAO TUNANOGA...
MIMACHO KODI..
Unaanza Baba Ndetaulwa yule ni mke
wake kweli?
Baba Bushiri mbona yule
hajakusalimia?
Kheeeee..
ALAFU MUWAGE NA KAULI ZA
MITOKO NA MAJINA YA WAPENZI
WENU.
Mimi wangu namuitaga "Meli" Mambo
ya honey.. bebi kila mtu woiiii.
Naitaga MELI full stop.
Hahahahahahaha.
WATOTO WA SEKONDARI NA
WANACHUO NDO WANAITAGA HONEY
BEBI SWTY...WAKITAKA KUPEWA
KITU.
Mimi sio mwanachuo.
Hahahahahahaha.
MELI. Full stop.
KUNA WANAWAKE HUMU YANI
MKITOLEWA DINNER AMA MKITOKA
HARUSINI NYUMBANI HAMFIKI
SALAMA. LAZIMA ZIPIGWE.
Hahahahahahahaha.
Acha kuvaa mavitenge yako ya stifu na
waya uone dinner ilivyo sexy.
ETI KAMA UNANIPENDA NIAMBIE
ZULFA NI NANI.Hahahahahahahahaha.
Dinner na Zulfa wapi na wapi.
Sasa ndo bahati mbaya apite hata jirani
na kina zulfa.Mama yangu. Ngumi
zinaweza kuanza ghafla. Malaya
umekuja kunisanifisha.. washenzi
wako... hao... umewaita waje
kuniona...hahahahha. machozi debe.
Moyo umehamia machoni.
Hahahahahahahahaha.
WENGINE MOYO UNAHAMIAGA
MIGUUNI NGUVU ZINAISHA MARA
CHINI. UKIZINDUKA IPO HOSPITAL.
Dinner inageuka Pressure kisa
mavitenge yako ya Stifu. Woiiiii.
KAMA UNANIPENDA NIFUNGULIE
BOTIQUE.
Kama mimi mumeo nakujibu nakupa
mtaji wa kwenda congo kununua
vitenge.Maana ndo unavyopenda.
NAWAOMBA JAMANI NIPANIKISHIENI
HAO MAKAHABA PLEASE.
Akija kusalimia akikuambia shikamoo
ukiitikia marahaba mkono uwe kifuani
mwa mumeo.
Yeye ndo moyo ukamhame huko.
Hahahahaha. Aanze UMENIFANYIA
NINI?umekuja kunionyeshea na
mkeo...
Hapo katuma msg... Na ndo kwanzaaa
kamguu kwa chini inamkuna mr. Huku
umemkumbatia.
Mr mwenyewe anamjibu...
NIHESHIMU NIKO NA WIFE.
ANAZIMA NA SIMU.
Ataisomaje namba???
Hhahahahahahahahaha.n n
Sasa nawaza mikono ya mwamvuli
ukimkumbatia mume si kama
amejifunika kitenge..
Mguu unanyanyaaje maana chini ni
karibu kitenge kizima huo mshono.
Woiiiiiiii.
MNAFANYAG MAISHA YA NDOA KUWA
MAGUMU. PYEEEE.
NDOA SI UTUMWA. NI KUJITUMA.
USIPOJITUMA INAKUWA NDOANO.
KWELI UNAALIKWA DINNER UNAPASI
KITENGE CHA MSHONO WA TAUSI???
serious???
Mnajua mnanitani?
Nikikukuta na mtenge wako dinani
nakusalimia.vb
Nakuambia shikamoo. Ubqche kuitika
uone. (Ama mimi unanijua unaweza
kuhisi natania.Nitatuma mtu
akusalimie. Wacha nihamishe huo
moyo.)
Loading....