Habarini,
Wanawake wezangu mwanaume mzuri matunzo yule anaejua nini unataka na kwa wakati gani achana na six pack sijui rangi dushe kubwa hivyo havisaidii kitu si chochote wala lolote mwanaume...
Nina mpenzi wangu tuna miezi 8 katika mahusiano yetu yeye anaishi kwa shangazi yake pamoja na ndugu zake (watoto wa shangazi yake)
Ameanza kuniambia amechoka kuishi kwao. Anahitaji kuishi na...
Wapenzi wana wa MMU
Wewe ni mume, umejaaliwa kipato cha wastani. Umekopa fedha benki, ukajenga nyumba, ukanunua shamba na ukanunua gari la kutembelea. Mke wako ni mama wa nyumbani.
Siku moja...
Nawatakia weekend njema wote..
Sasa nimewaita huku wanachama wenzangu wakiumeni tuijadili hii changamoto, nadhani imekua kawaida kwetu sisi vidume kuomba namba za warembo, halafu badae mrembo...
Ni mbinu gani mtu unaweza kuikabili kushinda wivu wa kimapenzi endapo mpenzi wako akiwa ameingia kazini basi anatakiwa kutotumia simu kwa masaa 11 au 12?
Nauliza hivi kwakuwa kila binadamu...
Natumaini mu wazima wanajamvi wote,
Napenda kuchukua nafasi hii kuelezea ya moyoni na hali ilivyokuwa baada ya post yangu yenye kichwa hapo juu, japo uzi ule uliombwa ufutwe baada ya kuleta...
Migogoro ni sehemu ya maisha Na wengine huita ndio mapenzi yenyewe Na unaweza vumilika.
Usaliti ni suala linaloumiza Na kukatisha tamaa sana.kama kuna mabadiliko unayashuhudia kwa mtu wako Na...
Habari za jioni wapendwa,
Nilikuwa ninatoka kwetu kijijini na vikapu vyangu vya ndizi na mihogo pamoja na mahindi. Nimepanda Raha Leo, njiani kama mtu simfahamu ninapenda kutumia ule muda...
Habari zenu wana jamii forum
Kuna binti fulani ninasoma naye college hapa mwanza moja,kanizoea sana kuanzia mwaka jana ila tatizo nikimuapproarch huyo binti anasema ana jamaa yake ambaye anayekaa...
Je, mtu anaweza kumroga mpenzi wake pale wanapo achana?
Rafiki yangu ameamua kuachana na mpenzi wake lakini amemtishia kumroga. Je, hili linawezekana?
Msaada wenu wakuu.
Kuna huyu mwanadada ambae sasa ninafikisha miezi kadhaa tangu tuanze mahusiano, kiasi flani nimeridhika na tabia zake, tunaenda vizuri, yupo serikalini, amepanga upande wa nyumba ambayo wana share...
Juzi usiku iitokea nikiwa nmezama kwenye kina kirefu sana cha mawazo nikamkumbuka Bibi yangu Ndembule miaka ile nmeenda mkoani kutoa taarifa nmepata mchumba.
Nakumbuka alikuwa amekaa kivulini...
Salamu?
Nakumbuka nishawai leta mada kuhusu mwanaume kufanya nae makubaliano ya kuzaa then ndo tuoane....lakin mwenzangu akaja kubadilika na kusema nitoe mimba.
Kiufupi ni kwamba nimelea mtoto...
Mwamkazeze,
Sijawahi kufanikiwa kupata mchumba humu tangu nianze kutafuta, Embu nioneeni huruma. Hata kama nna nyota ya bashite hii too much!
Kweli binadamu hawana huruma!
Tupendane jamani ht...
A woman is never taken by handsome body of a man but by love, if you will love your woman completely and romantically, that is enough security for her to cleave to you until death
Naturally...
10 Ways to look younger on a budget
Just because the economy is unpredictable, it doesnt mean you need to forgo any part of your beauty routine (lets face itwhen you look good, you feel...
Women will never be as successful as men because they have no wives to advise them.
Hii ni signature ya Ndugu Nguli. Je haya kwenye hii statement ni sahihi wanajamii, je wasichana na wanawake wa...
Kuna IQ ya kwenye mapenzi?
Nauliza swali hili kwa kuwa uzoefu unaonyesha kuwa watu wametofautiana sana kwenye mapenzi kuanzia USHAWISHI, UTEKELEZAJI, PERFOMANCE na wingi wa idadi ya wapenzi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.