Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wapendwa, Kwenye ile mikanda ya ngono huwa kuna warning wanasemaga, 'watu utakaoenda kuwaona humu, huenda unawafahamu, aidha aweza kuwa ni dada ako, shemeji yako au hata msichana wako' kwa hiyo...
29 Reactions
133 Replies
16K Views
Ni kama mwezi tangu niachane na mchumba wangu ila moyo wangu una shauku ya kumjua aliye chukua nafasi yangu yani mchumba wake mpya ex wangu
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Unakuta mtu anayekupenda we humpendi unapenda mwingine, na huyo hakupendi anapenda mwingine na yeye hapendwi anapendwa mwingine. Yaani utakuta ni foleni ya wanaopenda wasipopendwa mpaka basi...
14 Reactions
97 Replies
11K Views
Habari wanajf... Kuna kaka mmoja ana nguvu zake za kutosha za kujitafutia riziki...Huyu kijana sio rafiki yangu ila anaforce tu ili mradi nionekane mi rafiki yake... Kila siku jioni nikiwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za mida hii Kuna baadhi ya watu wanaamini eti kuna wapendanao wakiishi pamoja kwa muda mrefu au wakiwa na mapenzi ya kweli kati yao hupelekea sura zao kuanza kufanana Je ushawahi...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kumekuwa na kawaida moja jamaa akimuona au kusikia mpenzi wake analiwa na mtu mwingine anaumia sana na anaweza mpiga sana mwenza wake au wakaachana kabisa. Hiyo inatokea pande zote japo wanaume...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Hapa JF ni kisima za wachambuzi. Kwa siku mbili tatu inajadiliwa sana thread kuhusu Mkono wa Sweta (GOVI) wengi wa vijana katika hiyo mada wanaelezea faida za Tohara au kukata govi eti ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hapa JF ni kisima za wachambuzi. Kwa siku mbili tatu inajadiliwa sana thread kuhusu Mkono wa Sweta (GOVI) wengi wa vijana katika hiyo mada wanaelezea faida za Tohara au kukata govi eti ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ukifanya utafiti katika nyumba za wageni ( Guest, Lodge na Hotel) zilizo katika miji mbalimbali, basi utakutana na haya. Mathalan nyumba ipo Dar es Salaam, ukikagua daftari la kuandikisha...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Binadamu tumeumbwa tofauti tofauti,kuna wenye tabia za kupendeza na kuudhi,mwanamke akiwemo.Aina hizi za wanawake unapaswa wewe kama mwanaume kuwaogopa kama ukoma maana watafanya maisha yako...
5 Reactions
119 Replies
15K Views
Sijui labda ni mimi pekee ninayeliona hili au na wenzangu pia mnaliona lakini mnakaa kimya. Lakini kwa kipindi kirefu sana, nimekua nikifuatilia maswala ya mahusiano katika jamii yetu, na...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Jamani tuongeeni ukweli, hivi ni % ngapi ya wanaume ambao tayari wana mahusiano (mke, mchumba, n.k) akipata mrembo mwingine mzuri anayejitambua atakataa kuwa nae? Mimi ni mmoja wa wanaume...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Siku za karibuni kumeibuka thread nyingi sana zenye aidha kuponda au kukashifu wanawake, ninachoweza kusema ni kwamba hazinifurahishi lakini hazinifanyi nichukie maana najua ni mapungufu...
37 Reactions
142 Replies
10K Views
Kwa kweli wapendwa hata kama ni hamu ya kula Kuku sio kwa style ya kula vikanyagio vya Kuku. Wana Dar es salaam hata kama maisha magumu kuleni japo dagaa ni mbadala mzuri tu Wa protini halafu...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Navyofahamu unapompenda mtu kiukweli unakuwa tayari kufanya lolote kwa ajili yake ili kumhakikishia furaha yake na pia una enjoy kumfanyia hilo. Yaweza kuwa msaada wa kitaaluma, kikazi,kiuchumi...
2 Reactions
26 Replies
6K Views
Wakuu wazazi wa Kiume huwa wana Roho Ngumu sana Ukilinganisha na Mama hii Picha imeniliza na Kunifanya Niongeze Upendo zaidi kwa mama yangu. Hii ni picha wakati maiti zinaagwa mama akiwa hana...
14 Reactions
187 Replies
22K Views
Nina mpangaji wetu hapa kapanga nyumba kitambo kipindi hicho msela kaanza maisha hajawai kutusumbua, akaja analeta msichana, mchizi akanipanga huyu manzi mimi ndio boyfriend wake wa kwanza weekend...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini??? Nimeshuhudia matukio matatu ya aina hii ya baba wa familia kutoka kimapenzi na bintiye, wa kwanza ni mwanaume aliembikiri mwanae wa darasa la 6 wa kumzaa mwenyewe baada ya kuachana...
0 Reactions
38 Replies
9K Views
Wanawake ni wengi lakini wife material ni wachache, hata wanaume ni wengi ila husband material ni wachache. Mfanye mwanamke wako awe wife material na wewe utakuwa husband material wa kujivunia...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Back
Top Bottom