Kwa utafiti nilioufanya nimegundua wanaume wanaowaza na kuongelea ngono mda wote ni wale wasiokua na shughuli ya kufanya yani wamebweteka tu wengine eti wanasubiri ajira kha! Kwanini usitafute...
Wandugu naomba kuuliza je kunaweza kuwa na raha ya maisha bila mapenzi?
Binafsi nayapa heshima mapenzi maana bila hayo raha ya maisha ingekuwa kama haipo.
Watu hawajuani lkn wakipendana...
Habari wana JF kwa muda mfupi nimeona watu wakitafuta wachumba hapa JF lakini ninachoshangaa wengi huhitaji watu wenye elimu kubwa hadi Phd.
Tujuzane hivi huwa mnaenda kufungua kampuni huko na...
Haya maisha hayana fomula aisee. Nakumbuka enzi za ujana wangu nilikuwa natoka katika familia masikini kiasi kwamba maisha yalikuwa ya tabu sana hata wanawake warembo wakawa wananipitia mbali...
Hivi ikiwa mlikuwa wapenzi na mnafanya biashara ikatokea hamkuelewana mkavunja mahusiano ya kimapenzi na kati yenu mlikuwa mnadaiana pesa,mfano anakudai mlioni kumi 10ml, demu kwakuwa mlikuwa...
Timbwili timbwili patashika nguo kuchanika lilitokea Shinyanga mtaa wa Nguzo nane karibia na soko baada ya mama mmoja anaejulikana kwa jina la Mama Sakina kudai talaka kwa mme wake(jina...
Tulipofahamiana kwa mara ya kwanza sikua nimetahiriwa , akanipa sharti kuwa kama sitatahiriwa yy hawezi kuendelea na mimi, nikaamua kuvunja mila yetu nikatahiriwa, nilisumbuka sana na kidonda hadi...
Dada zetu siku hizi hawapendi kuvaa chupi kabisa.Wenyewe wanadai wanataka wapigwe upepo kunako.
Sasa wengine nguo wanazovaa ni hatari tupu,unakuta kavaa nguo laini na mzigo kajaliwa huo...
Habari wakuu,
Baada ya kusoma makala ya Sema Tanzania inayaoeleza athari za kuweka picha za watoto wetu mitandaoni, nimeona niilete hapa na sisi tudiscuss kidogo..
Hivi kwa upande wenu...
Habari wana MMU
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,Nina rafiki yangu ambaye ameolewa na Mwanaume ambaye alifiwa na mkewe miaka kadhaa iliyopita.
Anasema mwanzoni alidhani mumewe huyo bado yupo...
Naomba kujua ni kipi kinapelekea wanawake kuhema sana wakati wa mechi, yaan mwanzo tu unakuta anahema kama vile ametoka mbio ndefu wakati baadhi yao wakati wa mechi yeye ni kulala tu hamna hata...
Habari zenu wadau
Jamani mimi nina katabia ambako mi mwenyewe sikapendi ila ndo sijui mazoea najikuta nachukia kuvaa chupi. Nitaoga nitavaa ila chupi sivai na kuna muda najikuta period imeanza na...
Jamani kwa wote wenye vyeti vya taaluma kuweni makini sana hasa pale ugomvi unapotokea na wapenzi wenu usihusike kwenye vyeti ili mkomoane.
Nimeyasema haya kwa sababu kipindi hiki ni rahisi sana...
Kufikia Mwaka 2020 Wanaume asilimia 70
watakuwa na Upungufu wa Nguvu za Kiume,
sio
kwa sababu nyingine ila Wanawake mtakuwa
mmesababisha.
Hawa jamaa wamezaliwa marijali lakini kwa hizi
Style zenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.