browwn
Member
- Apr 25, 2017
- 35
- 27
Nawatakia weekend njema wote..
Sasa nimewaita huku wanachama wenzangu wakiumeni tuijadili hii changamoto, nadhani imekua kawaida kwetu sisi vidume kuomba namba za warembo, halafu badae mrembo anajikausha ama hakujibu message ama hapokei simu zako...nadhani hii inatokana na makosa katika kuanzisha maongezi (chatting) na mrembo husika.
Sasa nimewaita huku ili kama wadau wakiumeni tuisolve hii changamoto na tuanzie kuhesabu point pale tu unapofanikiwa kuipata namba ya mrembo, bila kuhofia kama ataleta utata mbele ya safari ktk maongezi..
Kwanza tufahamishane huwa tunakosea wapi na jinsi yakurekebisha changamoto husika..
Nakaribisha mawazo yenu wanaume ila leo na mdada unaruhusiwa kuchangia kama utapenda..
NB: Kama huna chakuchangia unaweza pita kavu kuliko kuchangia wazo lisilohusiana na mada...
Muishi milele wanachama wakiumeni....