Women want to be told “I LOVE YOU” in many various ways

Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,145
5,553
A woman is never taken by handsome body of a man but by love, if you will love your woman completely and romantically, that is enough security for her to cleave to you until death

Naturally a woman expects her man to know how to love her; she will never tell you want she wants instead she is expecting you to take her the all way of love. Don’t take for granted that you know her; keep on knowing each day and continue discovering what her heart needs.

Nimepata haya machache kwenye jarida moja hivi. Je haya ni ya kweli au ni maneno matupu tu?
 
thats may imply to some women, since I am not a very romantic person I need more than love to stick with a man...
 
ebu fafanua zadi hapo kwenye nyekundu umeniacha njia panda kabisa
 
Mimi sitaki a man to tell me he loves me, I want him to love me. Mambo ya kusema "I luv u" kila mara wakati moyoni sio kweli hayapendezi. na a genuine woman anataka love tu kwa mwanaume, na sio vitu vingine. Unaweza ukapata vitu vingine sehemu yoyote, lakini sio love.
 
Pasipo kusema I LOVE U utajuaje kuwa anakupenda au ndio mpaka atoe vitu vingine materials kuthibitisha mapenzi? Bado sijaelewa nahitaji msaada
 
Hapo kwenye RED umenidanganya kabisa, mara nyingi mnapatikana kwa kudanganywa! Ukweli hapo hauzai matunda kabisa. Kwa uzoefu wangu, niliopata kuwadanganya nimewapata kwa urahisi sana, japo niliwaambia ukweli niliwashutukia wapo pengine. JUST IN MAJORITY!
 
Sijasema asiseme I love you, lakini siyo ile ya ki-siku hizi, kila mara I love u. yaani sometimes unaona kabisa kuwa hapa naibiwa, mtu anasema tu I love u wakati hamaanishi chochote. na wanaume wamelijua hilo kuwa wanawake wanapenda kuambiwa I luv u, so kama unamtaka (siyo kumpenda) you just tell her I luv u in all smses na calls na kila mkionana basi utakuwa umempata.
 
Maneno tupu pasipo matendo hayafai kitu, kadhalika matendo matupu pasipo maneno, ni kama kufosi fulani.
There must be a balance between words anD actions to find a nice cocktail of the whole thing!
 
Hapo kwenye RED umenidanganya kabisa, mara nyingi mnapatikana kwa kudanganywa! Ukweli hapo hauzai matunda kabisa. Kwa uzoefu wangu, niliopata kuwadanganya nimewapata kwa urahisi sana, japo niliwaambia ukweli niliwashutukia wapo pengine. JUST IN MAJORITY!

Hiyo green ni sawa kabisa, Majority, sio wote! kwa vile sio wote, mimi ni kati ya wale waliobakia.
BTW, nina uhakika kabisa kuwa sipo kwenye hiyo sample yako, ndo maana hukujua kuwa kuna wengine hawapendi kudanganywa
 
Sijasema asiseme I love you, lakini siyo ile ya ki-siku hizi, kila mara I love u. yaani sometimes unaona kabisa kuwa hapa naibiwa, mtu anasema tu I love u wakati hamaanishi chochote. na wanaume wamelijua hilo kuwa wanawake wanapenda kuambiwa I luv u, so kama unamtaka (siyo kumpenda) you just tell her I luv u in all smses na calls na kila mkionana basi utakuwa umempata.
Asante kwa majibu mazuri FP lakini bado nina tatizo ni wakati gani hasa mwanaume amwambie mwanamke wake I LOVE YOU? Kuna specific time/period?
 
Asante kwa majibu mazuri FP lakini bado nina tatizo ni wakati gani hasa mwanaume amwambie mwanamke wake I LOVE YOU? Kuna specific time/period?[/QUOTE]

I believe kuna specific time ni vizuri ukamwambia mpenzi wako I love u. mfano amekushauri jambo fulani zuri, au amekufanyia jambo zuri. sometimes unaweza kumwambia for no reason but once in a while. sio kila mara I love u, hata kama upo na mpenzi mwingine unamu-sms kumwambia I love u; hiyo haikubaliki
 
Asante FP, lakini wataalamu wa mapenzi wanasema mapenzi ni mchanganyiko wa uongo na ukweli lakini uongo ndio umeshika kasi kwenye mapenzi pasipo wahusika kugundua kwa wakati na wanasema pasipo uongo hakuna mapenzi. Wewe huoni kuwa maandiko yako yanapingana na kauli za wataalamu hawa?
 
Mwambie kila wakati umpendae 'I love u'. Ina uzito wake. Mfano, kama ukienda nyumba ndogo, utayackia hayo maneno yakijirudia mara kwa mara kicjwani na pia yanaweza kukufanya ubadili mawazo kama ulitaka kuiba/kuibiwa
 
hapo kwenye red umenifurahisha sana Katibukata, lakini sio wote bana wengine hayajirudii kabisa haya maneno
 
A woman is never taken by handsome body of a man but by love, if you will love your woman completely and romantically, that is enough security for her to cleave to you until death

Naturally a woman expects her man to know how to love her; she will never tell you want she wants instead she is expecting you to take her the all way of love. Don’t take for granted that you know her; keep on knowing each day and continue discovering what her heart needs.

Nimepata haya machache kwenye jarida moja hivi. Je haya ni ya kweli au ni maneno matupu tu?

porojo tupu hizo mkuu.................. be careful na biashara ya kuuza habari..............
 
Asante FP, lakini wataalamu wa mapenzi wanasema mapenzi ni mchanganyiko wa uongo na ukweli lakini uongo ndio umeshika kasi kwenye mapenzi pasipo wahusika kugundua kwa wakati na wanasema pasipo uongo hakuna mapenzi. Wewe huoni kuwa maandiko yako yanapingana na kauli za wataalamu hawa?

ICU nadhani utakubaliana nami kwamba uongo ukizidi sana mapenzi yanakufa. kumbuka kuwa huwezi kudanganya kila siku, otherwise inabidi uwe mtaalamu sana wa kudanganya. na kama ni mimi ndo mpenzio, nikigundua more than nusu ya mapenzi yetu yalikuwa ni ya uongo wala sijiulizi mara 2 kuhusu kuyavunja hayo mapenzi, hata kama nakupenda vipi. nachukia sana kudanganywa
 
Samahan Fixed Point kumbe wewe ni she?

Mkuu ICU, ile thread yako ya nani namhusudu hebu nisaidie kumuondoa Egyps Women niwekee huyu dada FP.

Mchango wake umenikuna sana. Nami navutiwa na wanawake wenye mitazamo kama wake FP.
Ni hayo tu
 
Back
Top Bottom