Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Yani Mwanaume jinsi alivyo na upendo kwa wanawake...!!! Hivi unajua mwanaume hata akipewa kundi la wanawake 100 achague mmoja kati yao!! Hata akichagua mzuri kupita wote bado roho itamuuma sana...
9 Reactions
63 Replies
6K Views
Wakubwa poleni na majukumu baada ya hapo naomba niende moja kwa moja kwenye maada yangu mimi ni kijana wa umri wa miaka 19. Kaka yangu alioa miaka 3 iliyopita. Kaka huwa ananiomba niende...
14 Reactions
165 Replies
15K Views
Kuna kitu kinanikera sana, unakuta kijana kaja kwenye jukwaa hili kwa nia nzuri kabisa ya kutafuta mke, mchumba au rafiki wa kike lakin comments za matusi atakazopata toka kwa wanaume wenzie mpaka...
2 Reactions
5 Replies
858 Views
Umofia kwenu wana jukwaa! Wadada badilikeni na jifunzeni kujua hakuna mwanaume aliyekamilika, msijifanye too complex kuliko uhalisia, acheni kuiga uzungu. Kuna binti nikiwa form six yeye alikuwa...
10 Reactions
104 Replies
10K Views
Kuna Dada alikua na mpenz wake mpya.cha kushangaza kila anapokutana nae anakua na condom mpya..na uwa zngne znabaki .mfn anaweza kutumia moja ...tatu zkabaki.anajiulza zile znazobaki uwa zinaenda...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Wadau sijui kama na ninyi mmeliona hili. Siku hizi ni rahisi sana Kukamatama mademu. rahisi kweli...ukimnywesha beer mbili tatu tu basi anakuwa wala hana hiyana unaweza beba mzigo ukaenda kula. na...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa mimi hapa nilipata manzi kila nikiomba mechi akawa anasema yeye ni virgin mpaka akiolewa ndo atasex niliteseka mpaka nikakata tamaa,,,siku moja tulitoka manzi akaparamia wine zikamlewesha...
2 Reactions
159 Replies
16K Views
Natafuta Kaka mstaarabu mtulivu mwenye kujua utu na ubinaadamu wa kubadilishana nae Mawazo yaani kuchati na kushauriana kuhusu Maisha kwa ujumla. Mengine kama mimi nani au namba ya Simu ni baada...
24 Reactions
184 Replies
29K Views
Habari wakuu .. natumaini wote hamjambo Naomba tupeane ushirki wa mawazo na hata experience kwa aliyewahi kukutana na maswaiba ya ukatili ambayo had I Leo hii hawezi kuusahau ... ...... Unaweza...
0 Reactions
3 Replies
980 Views
Wakuu hivi inakuwaje demu umemualika kwenda kula chakula pamoja naye kwny hotel alfu anakuja na team( rafik zake au ndugu zake) ya kutosha. kwa wanaume wenzangu ; unafanyaje alfu naww ndio...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Umri wa mwanamke katika Mahusiano una vipengele vifuatavyo; 1.Akiwa na umri wa kujitambua kuhusu mapenzi mpaka miaka 26 atasema nataka mwanaume mwenye gari, nyumba na kazi nzuri. 2.Akifikia...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Lameck alikuwa akiendesha gari kwa kasi sana. Mara akakutana na akina Mama watatu ambao walinyoosha mkono kumuomba lift. Ingawa alikua na haraka lakini aliwaonea huruma na kusimama, sehemu...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Dhahili huleta udhaifu wa moyo pamoja na roho , lakini mimi nafarijika kuwa wewe unaweza kuiponya roho yangu inayonipeleka puta. Mpenzi" mapenzi yanapokuwepo ndipo hupatikana mahaba na hasa...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Wasalaam, Naomba nichukue fursa hii adhimu kuongea na nyinyi dada zangu. Kwanza naomba niwape pole kwa pressure mnazozipata kutoka kwetu zinazowafanya mpaka wengine wafikie maamuzi ya kubadili...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Mada tajwa yahusika Leo nlikua na miadi na baby wangu yule wa kunipunguza uzito na yeye mwenyewe aliniambi ukitoka Job nishtue Nlipotoka job nkamwambia natangulia ghetto akasema poa mi najiandaa...
13 Reactions
78 Replies
8K Views
Wadau me nina shida mpaka ndoa yangu inakosa amani hapa kwenye ofice yangu kna jirani yangu ambae ni kabila moja na wife tnaitana shemeji lkn amekja niletea balaa maana ce mnajua mambo ya vijana...
0 Reactions
9 Replies
988 Views
Leo mchana wakati natoka kibaruani kwangu kwa miguu nilipita mtaa fulani hivi. Wakati nipo kwenye mtaa huo nilimuona Mama mmoja kama mwenye miaka 30_35, kilichonishangaza ni kusikia maneno makali...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Looking for a handsome man aged 32_40..'He should be single and ready for something serious....Awe mrefu na sio mnene iiivo, ya awe na body zuri la mazoez....mwenye sifa hizo anitafute Dm...Iam 25...
9 Reactions
159 Replies
12K Views
MAMA HIVI ULIMPA MUNGU SHILINGI NGAPI? Baada ya miaka saba ya ndoa bila kupata mtoto, Magreth alimuambia mumewe Benjamin kua atafute mwanamke mwingine wa kuzaa naye. Walishahangaika sana...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna lijitu nimeliona humu eti na lenyewe linamwita Miss Natafuta 'Baby J'. Kazi kuiga iga tu swagga za watu. Hata halijui kwa nini namwita hivyo lakini na lenyewe eti linamwita hivyo. Stupid...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom