Je, mtu anaweza kumroga mpenzi wake pale wanapoachana?

coffea

Member
Jan 23, 2017
14
5
Je, mtu anaweza kumroga mpenzi wake pale wanapo achana?

Rafiki yangu ameamua kuachana na mpenzi wake lakini amemtishia kumroga. Je, hili linawezekana?

Msaada wenu wakuu.
 
Sasa amroge ili iweje? Si akubali tu kushindwa na maisha yaendelee!!!
 
Hiyo ndio shida ya kutoridhika na matokeo.

Anaongea tu huyo ila akisema anayaamini hayo maneno hata akiamka anaumwa na mgongo tayari atasema amelogwa.

Hakuna kitu kama hicho.
 
Kwani hujawahi kuona vibango vya waganga vikisema "Kumvuta aliyembali,freemason n.k?"

Kama unarogeka unarogwa tu.
 
Back
Top Bottom