"Women need a reason to have sex. Men just need a place."

Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,145
5,553

Hivi hii ni kweli wakuu?

Ni signature ya Bigirita, imenivutia ila sijajua ukweli wake ni mkubwa kiasi gani.
 
Kwa kifupi ni kuwa, mwanamke mpaka apate sababu ya kusex, lakini mwanaume akiona gesti tu anakuwa tayari kufanya matusi.

Umeelewa sasa? Ngoja nikazimue, hangover mbaya sana.
 
Kwa kifupi ni kuwa, mwanamke mpaka apate sababu ya kusex, lakini mwanaume akiona gesti tu anakuwa tayari kufanya matusi.
Bado sijaelewa Mhe. Xpin. Kwanini mwanamke awe na sababu na mwanaume akose sababu na kwanini mwanaume akiona gesti awaze ngoono lakini sio mwanamke? Please more clarification broda
 
Yap 80% ya madem niliowahi kumega walikuwa hivyo; Dem atakubali ukammege euther

1. Kuonyesha kuwa amekukubali
2. Kuhakikisha anakuweka chini ya himaya yake
3. Kupata anachokitaka kutoka kwako

lakini nimeshawahi kuwamega madem sehemu zifuatazo bila hata ya kutegemea

1. Sebuleni kwake; wakati mdogo wake kalala chumbani
2. Ndani ya gari
3. Kwenye migomba (Chaka)
4. Shambani (mahindi marefu)
5.Varandani; tukizuga kupunga upepo
6. Ndani ya bus; tuliharibikiwa safarini!

and the list continues
 
Mwanaume akiona kizuri tu anakitaka, ila mwanamke hadi ashawishiwe .
Nadhani ni biological.
 
Yap 80% ya madem niliowahi kumega walikuwa hivyo; Dem atakubali ukammege euther

1. Kuonyesha kuwa amekukubali
2. Kuhakikisha anakuweka chini ya himaya yake
3. Kupata anachokitaka kutoka kwako

lakini nimeshawahi kuwamega madem sehemu zifuatazo bila hata ya kutegemea

1. Sebuleni kwake; wakati mdogo wake kalala chumbani
2. Ndani ya gari
3. Kwenye migomba (Chaka)
4. Shambani (mahindi marefu)
5.Varandani; tukizuga kupunga upepo
6. Ndani ya bus; tuliharibikiwa safarini!

and the list continues
kweli wanawake lazima wawe na sababu. Sasa sababu ya kwenda uko machakani ni nini?
 
Unaweza kutufafanulia ni kwa vipi viungo vinahusika?
Kuna kamsemo kuwa..........Mpaka demu akuvulie chupi..........lakini hakuna mpaka kidume kikufungulie zipu!!!!

Unaweza kupeleka moto, popote pale na mwanamke yeyote yule mazingira yakiruhusu na bila sababu..........as men, we know this.....hakuna mjadala hapa.
 
kweli wanawake lazima wawe na sababu. Sasa sababu ya kwenda uko machakani ni nini?
Mkuu, hapo ndo unakuwa huelewi..........no reason, just a place......kichaka kinamsitiri kidogo, yeye ana-do ze nidful
 
red, kwani wanawake hawapendi au kutamani vitu vizuri?
Roy amesema, tukiona kizuri, tunakitaka....sio tunatamani, hiyo ndiyo tofauti yetu. Ukiona kitu kizuri, ukipata nafasi unatafuna bila sababu.
#Mademu wanaona wanatamani au kupenda........lakini kuvua nanihii, mpaka wawe na reason. sisi kufungua zipu haihitaji reason................(Kwa kujua hivyo,kuwa tupo tofauti ndo inapelekea wanaume kuji-control zaidi, wanawake wanahitaji nguvu kidogo tu kuji-contro to have sex kuliko sisi)
 
Hivi hii ni kweli wakuu?

Ni signature ya Bigirita, imenivutia ila sijajua ukweli wake ni mkubwa kiasi gani.

NO...! Kwani wangapi wamemegwa hata bila kujitambua, anashtukia kitu tayari! Wangapi wanatolewa ubikira wakiwa minor? Je, ndio kuwa na sababu? Mwanaume lazima aumize akili kwanza kabla ya kutokea demu, huku akijaribu kuandaa sababu za msingi za kujitetea. Lakini mwanamke anakubali au kukataa, tena mara nyingine bila kuhoji sababu zilizomsukuma mwanaume kumtamkia hivyo.

SI KWELI....! Labda kinyume chake.....!
 
hahahahahahahahaha, hata kwenye mtaro, pouwaaaaaa eeh?
acha kabisa!!!!
jamaa alimalizia kwenye gari, si purukushani akakata shanga za binti wa watu!! zikamwagikia kwenye gari.
Mbona ilibidi akapark gari petrol station na kwenda kudai kwa my wife wake kuwa gari mbovu.........vile vipunje vya shanga utavisafishaje visibaki????
 
NO...! Kwani wangapi wamemegwa hata bila kujitambua, anashtukia kitu tayari! Wangapi wanatolewa ubikira wakiwa minor? Je, ndio kuwa na sababu? Mwanaume lazima aumize akili kwanza kabla ya kutokea demu, huku akijaribu kuandaa sababu za msingi za kujitetea. Lakini mwanamke anakubali au kukataa, tena mara nyingine bila kuhoji sababu zilizomsukuma mwanaume kumtamkia hivyo.

SI KWELI....! Labda kinyume chake.....!
Tuache utani, red ya mwanzo.unakuwa umebaka kwanza. hatuongelei nyie akina babu mnaotafuta vi-hakielimu.

Pili, in a serious note: kupasua kichwa kunatokana na kutopewa kirahisi.....kwanza kubali, lakini cha msingi ni kwamba hizo unazoziita reasons -----umezi-disqualify kwa kusema ni za kujitetea. kwa hiyo sio neccesarly ziwe genuine reasons.

Tatu, wewe umeshawahi ktoa sababu za msingi kwa watu wangapi?..........huwa zinakuwa nini? nakupenda sana, au?

Put your options open man.
 
acha kabisa!!!!
jamaa alimalizia kwenye gari, si purukushani akakata shanga za binti wa watu!! zikamwagikia kwenye gari.
Mbona ilibidi akapark gari petrol station na kwenda kudai kwa my wife wake kuwa gari mbovu.........vile vipunje vya shanga utavisafishaje visibaki????
Hahahahahah asubuhi ingekuwaje kama wife angeomba kwenda kuangalia gari ilivyoharibika? Ndoa ingeingia mkenge
 
NO...! Kwani wangapi wamemegwa hata bila kujitambua, anashtukia kitu tayari! Wangapi wanatolewa ubikira wakiwa minor? Je, ndio kuwa na sababu? Mwanaume lazima aumize akili kwanza kabla ya kutokea demu, huku akijaribu kuandaa sababu za msingi za kujitetea. Lakini mwanamke anakubali au kukataa, tena mara nyingine bila kuhoji sababu zilizomsukuma mwanaume kumtamkia hivyo.

SI KWELI....! Labda kinyume chake.....!
Ebu tupe personal experience mjumbe ili somo lieleweke fasta please tafadhali
 
Back
Top Bottom