Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,107
- 1,094
Habarini,
Wanawake wezangu mwanaume mzuri matunzo yule anaejua nini unataka na kwa wakati gani achana na six pack sijui rangi dushe kubwa hivyo havisaidii kitu si chochote wala lolote mwanaume mzuri yule anaejua matunzo.
Hata kama nawe unatafuta na una pesa zako lakini lazima mwanaume akupe matunzo huyo ndo mwanaume mzuri na ukimpata tulia nae usihangaike na wa dushe kubwa sijui rangi huku hana matunzo ni bure utaishia kuchafuliwa tu.