Kalam mpya
Member
- Mar 30, 2017
- 84
- 76
Ni hatari kuacha kumpa haki mmeo au haki mmkeo.
Utakua sababu ya kuleta UKIMWI NDANI
Utakua sababu ya kuleta UKIMWI NDANI
mkuu umenyimwa nini?Ni hatari kuacha kumpa haki mmeo au haki mmkeo.
Utakua sababu ya kuleta UKIMWI NDANI
mhhh sakayo kwani wewe CO mwanamke??Wanawake mkuje huku
Kwa nini mnawanyima waume zenu na hizi baridi jamani..... Mungu anawaona mjuee
Usimcheke, muhurumie, tupo wengi. Kinachotuogofya ni kuporomoka kwa familia. Papuchi zipo nyingi tena za sampuli tofauti tofauti.mkuu umenyimwa nini?
Mume kutokutoa inawezekana ni uchovu. Maana mwanamme akichoka muhogo hausimami vizuri, ukiulazimisha kusimama kuna hatari ukasinyaa katikati ya gemu. Sasa wewe mwanamke ni nini sababu ya kugoma kutoa papuchi kwa mumeo? Maana waweza lala tu kama gogo mwanamme akajisevia mwenyewe na kushiba vizuri tu. Shida iko wapi? Kama sio kiburi cha kujiendekeza.Hapana hata mume nae huwa hatoi
Poleni sana aisee, maana kunyimwa na baridi hili si mchezo!Usimcheke, muhurumie, tupo wengi. Kinachotuogofya ni kuporomoka kwa familia. Papuchi zipo nyingi tena za sampuli tofauti tofauti.
Sina uhakika kama na wewe unajua kwamba ulichoongea kina UKWELI mkubwa sana. Wewe unatakiwa kupewa Big Up na siyo like.Kunyimana ni aina fulani ya ujinga ambao mwisho wa siku utawagharimu wote.
Word.alafu sio kwamba naondoka nacho,natupiamo tunafaudu wote,na kinaendelea kuwapo.Sio kwa wake/waume tu..Kunyimana kiujumla sio kitu kizuri