floow
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 411
- 855
Nina mpenzi wangu tuna miezi 8 katika mahusiano yetu yeye anaishi kwa shangazi yake pamoja na ndugu zake (watoto wa shangazi yake)
Ameanza kuniambia amechoka kuishi kwao. Anahitaji kuishi na mimi nimekataa sana na kumwambia sijajipanga yeye haelewi somo na anadai haifiki Ijumaa atakua amehamia mazima. Nifanyeje wakuu mimi sihitaji kuishi na mwanamke kwa sasa.