T 1984 CON
Member
- Apr 15, 2017
- 49
- 81
Mwamkazeze,
Sijawahi kufanikiwa kupata mchumba humu tangu nianze kutafuta, Embu nioneeni huruma. Hata kama nna nyota ya bashite hii too much!
Kweli binadamu hawana huruma!
Tupendane jamani ht kwa wasio na pesa!
Sijawahi kufanikiwa kupata mchumba humu tangu nianze kutafuta, Embu nioneeni huruma. Hata kama nna nyota ya bashite hii too much!
Kweli binadamu hawana huruma!
Tupendane jamani ht kwa wasio na pesa!