Nahisi hili jitu linachukua msichana wangu

May 18, 2015
83
93
Kuna huyu mwanadada ambae sasa ninafikisha miezi kadhaa tangu tuanze mahusiano, kiasi flani nimeridhika na tabia zake, tunaenda vizuri, yupo serikalini, amepanga upande wa nyumba ambayo wana share na jamaa mmoja hivi ambae pia ni work mate wake, mwenye hiyo nyumba ni bosi wao kazini, huko nyuma aliwahi kutangaza kazini kuwa ana nyumba ya kupangisha lakini ni ya ku share sababu ilikua designed for a single United family, ndipo akajitokeza msichana wangu na huyo jamaa kuihitaji hiyo nyumba, wamegawana vyumba ila sebule na jiko wana share.

Tatizo lenyewe ni hili;

Kitendo cha watu wa jinsia mbili tofauti kuishi mazingira kama hayo kimeni irritate mimi hivyo kusababisha magomvi ya kila mara kati yangu na msichana wangu, kwa sababu, wakati mwingine nikifika pale nawakuta wamekaa sebuleni wakitazama filamu huku lile jitu likiwa na boxer tu huku msichana wangu akiwa na night dress ingawa anakua kajifunga na kanga pia, halafu wakati wote msichana wangu ndie mpishi kwenye hiyo nyumba, hilo pumbavu limekaa kwenye sofa kusubiri chakula kama mme vile, huwa nikikuta hali hiyo naingiwa na hasira kali mno na tukiingia chumbani namuanzishia vagi msichana wangu.

Msichana huyu nilikua nimepanga kumuoa maana mimi pia umri wangu umesogea kidogo na wazee wamekua wakinisukuma sana kuhusu kuoa, ila mimi nilipanga nioe nikishajenga nyumba yangu jambo ambalo nilishalikamilisha mwaka Jana, nimekua nikimsihi huyu binti aondoke kwenye hiyo nyumba aje tuishi wote lakini hataki anasema hadi ndoa, jambo ambalo linanikasirisha maana mtu yupo tayari kuishi nyumba moja na hilo jitu lakini hataki kuishi na mimi Mchumba wake, hiyo ni haki kweli wadau?

Sasa inanilazimu mimi kwenda pale hata usiku wa manane kwenda kuchungulia tu hata madirishani bila wao kujua ili kuona kama usiku huwa wanajuana, wakati mwingine nalazimika kwenda kulala pale bila kupenda katika mazingira ya hofu,
lakini yote hayo ni tisa, kumi, lile jitu huwa halinipendi, nikifika pale linaondoka, likiniona mimi nimefika pale, hata kama lilikua limevaa nguo litaenda kuvua linakua linapitapita hapo na boxer tu huku nyeti zake zikionekana wazi ku swing kwenye boxer, haliongei na mimi wala story tu za udugu kama watanzania tulivyozoeana,
i mara zote nikianzisha mada hii msichana wangu hunitoa wasi wasi kuwa hamna chochote kinachoendelea kati yao, na kwamba ni wasi wasi wangu tu, na kwamba anamheshimu tu kama kaka yake na ndio maana humpikia na kumfulia wakati mwingine, mimi siamini.

Ngoja niishie hapa, kwa kweli nina hasira sana, hivi kwa jinsi nilivyowaeleza mnadhani kuna chochote kinaendelea kati ya msichana wangu na hili jitu behind my back?

Tusaidiane wadau
 
Kuna huyu mwanadada ambae sasa ninafikisha miezi kadhaa tangu tuanze mahusiano, kiasi flani nimeridhika na tabia zake, tunaenda vizuri, yupo serikalini, amepanga upande wa nyumba ambayo wana share na jamaa mmoja hivi ambae pia ni work mate wake, mwenye hiyo nyumba ni bosi wao kazini, huko nyuma aliwahi kutangaza kazini kuwa ana nyumba ya kupangisha lakini ni ya ku share sababu ilikua designed for a single United family, ndipo akajitokeza msichana wangu na huyo jamaa kuihitaji hiyo nyumba, wamegawana vyumba ila sebule na jiko wana share

Tatizo lenyewe ni hili

Kitendo cha watu wa jinsia mbili tofauti kuishi mazingira kama hayo kimeni irritate mimi hivyo kusababisha magomvi ya kila mara kati yangu na msichana wangu, kwa sababu, wakati mwingine nikifika pale nawakuta wamekaa sebuleni wakitazama filamu huku lile jitu likiwa na boxer tu huku msichana wangu akiwa na night dress ingawa anakua kajifunga na kanga pia, halaf wakati wote msichana wangu ndie mpishi kwenye hiyo nyumba, hilo pumbavu limekaa kwenye sofa kusubiri chakula kama mme vile, huwa nikikuta Hali hiyo naingiwa na hasira kali muno na tukiingia chumbani namuanzishia vagi msichana wangu,

Msichana huyu nilikua nimepanga kumuoa maana mm pia umri wangu umesogea kidogo na wazee wamekua wakinisukuma sana kuhusu kuoa, ila mm nilipanga nioe nikishajenga nyumba yangu jambo ambalo nilishalikamilisha mwaka Jana, nimekua nikimsihi huyu binti aondoke kwenye hiyo nyumba aje tuishi wote lakini hataki anasema hadi ndoa, jambo ambalo linanikasirisha maana mtu yupo tayari kuishi nyumba moja na hilo jitu lakini hataki kuishi na mm Mchumba wake, Hiyo ni haki kweli wadau?

Sasa inanilazimu mm kwenda pale hata usiku wa manane kwenda kuchungulia tu hata madirishani bila wao kujua ili kuona kama usiku huwa wanajuana, wakati mwingine nalazimika kwenda kulala pale bila kupenda katika mazingira ya hofu,
Lakini yote hayo ni tisa, kumi, lile jitu huwa halinipendi, nikifika pale linaondoka, likiniona mm nimefika pale, hata kama lilikua limevaa nguo litaenda kuvua linakua linapitapita hapo na boxer tu huku nyeti zake zikionekana wazi ku swing kwenye boxer, haliongei na mm wala story tu za udugu kama watanzania tulivyozoeana,
Ingawa mara zote nikianzisha mada hii msichana wangu hunitoa wasi wasi kuwa hamna chochote kinachoendelea kati yao, na kwamba ni wasi wasi wangu tu, na kwamba anamheshimu tu kama kaka yake na ndio maana humpikia na kumfulia wakati mwingine, mm siamini

Ngoja niishie hapa, kwa kweli nina hasira sana, hivi kwa jinsi nilivyowaeleza mnadhani Kuna chochote kinaendelea kati ya msichana wangu na hili jitu behind my back?

Tusaidiane wadau

KWA udhoefu wangu, mwanamke ambaya ana BF/MCHUMBA na akamtambulisha kama hivyo huwa ni mkweli, na jamaa hata kama wana mahusiano sio muoaji na pia asingekuwa na wivu, walaji wasio waoaji hawana wivu. SWALI .....KWA NINI WEWE USIOE?
 
Oa
 
Au inawezekana hakuna kinachoendelea ila huyo mtu anafanya makusudi ukiwepo wewe ili kukuumiza roho
Cha msingi kaa na mchumba wako mueleze jinsi unavyojisikia kuhusu ukaribu wao mkataze mazoea yaliyozidi ikiwezekana hata kumpikia na kumfulia aache kama nae ana akili timamu atakusikiliza na kukuelewa
 
mkuu wanakula kisela hakuna madhara friend with benefits , kingine kumfulia na kumpikia yule ni mume wake kishikaji lakini haina madhara ,,,, makombo haina eti.. kama una hela mwambie umtafutie nyumba umpangie akisubiri hiyo ndoa yako... sasa ubaya kama humgongi vizuri ohoooo yani friend with hiyo yani huwa wanapiga kila aina ya staili jamaa anaenjoy sana .. sasa kama show zako za kilokole ha haha ah siendelei
 
Back
Top Bottom