IQ ya mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IQ ya mapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mokoyo, Mar 29, 2010.

 1. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,819
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kuna IQ ya kwenye mapenzi?

  Nauliza swali hili kwa kuwa uzoefu unaonyesha kuwa watu wametofautiana sana kwenye mapenzi kuanzia USHAWISHI, UTEKELEZAJI, PERFOMANCE na wingi wa idadi ya wapenzi kwa mtu mmoja.

  Hii ni kwa wote wanaume na wanawake
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,136
  Trophy Points: 280
  Sijui kama ni iq au ni interest kufanana
   
 3. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,819
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kuna tofauti kati ya interest na IQ Mkuu Bujibuji. Kwahiyo ni IQ au sio?
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Mh swali zito; sidhani kama tuiite IQ ; Interest ni sahihi zaidi kwamba ktk mapenzi watu tuna interest tofauti.
   
 5. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,819
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Asante Mkuu, ebu tupate ushauri wa wengine na mawazo yao
   
 6. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2014
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,819
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  na wenye michepuko je?
   
 7. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2017
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,819
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Hivi nilikuwa nawaza nini 2010?
   
Loading...