Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,220
- 1,225
Habari zenu wana jamii forum
Kuna binti fulani ninasoma naye college hapa mwanza moja,kanizoea sana kuanzia mwaka jana ila tatizo nikimuapproarch huyo binti anasema ana jamaa yake ambaye anayekaa dar es salaam,ila tatizo yeye anasema anataka niwe namfundisha na anataka kuwa close na mimi ila tukitaka kuzungumzia kuhusu swala la mapenzi mimi na yeye anakataa kabisa,ila bado ananipigia simu kila kukicha anataka tuwe tunasoma....sasa tatizo hapa mimi nilikuwa na mazoea naye ya kawaida ila kadiri muda unavyokwenda naanza kumpenda kwa kasi ila yeye hayuko tayari.......naombeni ushauri wenu maana naumia sana