Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wadau Naanza kuandika kisa hiki kwa maskitiko makubwa Mwenzenu nina mke nimebahatika kuzaa nae mtoto mmoja lakini mke huyu wakati huo naanza nae mahusiano yetu nilimkuta na mtoto mmoja wa...
19 Reactions
263 Replies
21K Views
Habari ya kitambo mabibi na mabwana wa jamiiforum. Natumai mnaendelea vyema katika shughuli zenu za kutafuta kipato, salamu ya pili iende kwa familia zenu, waambie Kasie anawapa Hi5!! Baada ya...
6 Reactions
106 Replies
8K Views
Habari za jioni Ndugu zanguni? Katika maisha kuna majaribu sana haswa ya nani hatakuwa wa kufa na kuzikana katika ndoa nijambo ambalo limefichwa sana. Kuna rafiki yangu kipenzi sana nimekuwa nae...
6 Reactions
86 Replies
7K Views
Katika Ukurasa wake Wa Facebook,Fr.Titus Amigu amekuwa akifundisha vijana kwa mambo mbalimbali ya kijamii, Kiuchumi, kiutamaduni na kiroho. Hii ni makala yake akiwausia wale wote wanaokusudia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wazee wa MMU najua humu kuna matukio mengi sana ya kimapenzi ambayo yameshawahi kututokea katika mambo ya kutongoza wengine wamepitia kwenye vipindi vigumu sana mpaka kumpata ampendae hii sanasana...
4 Reactions
111 Replies
9K Views
Amani kwa wote Baada ya misukosuko yangu ya ndoa nimeamua kupata nyumba ndogo ya kunituliza manyago kama wadau wengi walivyonishauri,ila naona kama bado mashaka yanaendelea Huyu bibie niliempata...
1 Reactions
70 Replies
6K Views
Nimekuwa member hapa muda mrefu hii ni id yangu ambayo hata jf friends wangu hawijui Mimi ni mama wa watoto wawili mmoja 5yrs mwingine 3yrs umbo langu kabla ya kujifungua halikuwa kubwa lakini...
0 Reactions
140 Replies
68K Views
Habari ya muda huu wakuu Katika miezi kadhaa iliopita nilitokea kuumizwa na msichana niliempenda sana, alinicheat katika mazingira ambayo kila nikiyafikiria huwa yananiumiza sana maana sikuwahi...
8 Reactions
175 Replies
17K Views
Wananchi habari za nyakati hii? Kuna swala moja nimekua nikijiuliza sipati jibu sahihi kuhusu hawa wenzetu jinsia ya jirani. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza unaweza kukuta mdada mzuri na...
3 Reactions
196 Replies
24K Views
Nahitaji mkopo sana lakini mabenki mengi hayatoi mikopo toka mwanzoni mwa mwaka jana kutokana na vugu vugu la wafanyakazi hewa pengine na uchumu kuwa na msukosuko. Je kwa wale wahusika waliopo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tuwapende WHAT A HUSBAND TOLD HIS WIFE THE NIGHT OF THEIR MARRIAGE/ WEDDING My wife, everyone has gone home. The music is quiet, the celebration is over. Our wedding was beautiful but it is now...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu wana Jamvi Leo nimetulia nyumbani kucheka na kufurahi na wanafamilia. Ninaona mambo mengine nashindwa kuvumilia kabisa. Kitoto changu cha miezi mitano kimebebwa na beki tatu. Anaonekana...
5 Reactions
128 Replies
12K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! HAPPY NEW YEAR PEOPLES!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Maxence Melo sijui hata nisemaje, was watching the news, and everything...
54 Reactions
631 Replies
111K Views
Mwanaume na msichana mmoja walikuwa katika mahusiano. Baada ya miaka kadhaa ya mahusiano yao, mwanaume alimaliza chuo kikuu na kuamua kujiongezea maarifa kwa kwenda kusoma nje ya nchi. Kabla ya...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Dada yangu lara 1, mwaka 2014 ulikuja na mada hapa yenye kichwa habari kuwa unatimiza 30 years of age na unaomba namna ya kudeal na age hiyo kimapenzi. Naona sasa umekuwa na 33 years.....tunaomba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
habari za usiku wana Jf. samahani tujuzane kama na nyie mmewahi kujihisi kuchoka kutongozwa / kutongoza na umri gani mlijihisi kuchoka hiyo hali kiasi kwamba ukitongozwa / tongoza unazarau au...
2 Reactions
92 Replies
7K Views
Kama kichwa kinavyojieleza wadada mliozaliwa 80's kama bado hujaolewa huu tena sio muda wa kuchagua wa kukuoa. Kama ni mechi wanasema fungulia mbwa...yani sagula sagula..ngoma nagwaaa..jua...
7 Reactions
156 Replies
13K Views
Moja kwa moja kwenye mada, 1. Kupiga mizinga - Wanawake wanapenda sana kuombaomba hela. Hata kama anazo, atapenda na za kwako kidogo achukue. Yaani "omba omba sana" kutokana na tamaa ya shetani...
6 Reactions
52 Replies
11K Views
Hivi ukiwa unaumwa malaria au ukiwa na homa vipi mgegedoni performance inakuwaje, kwa sababu nimekuwa mwoga sana kugegeda nikiwa siko sawa kwa hofu ya kufanya chini ya kiwango na hivyo kujipotezea...
4 Reactions
46 Replies
5K Views
Habarini wana JF, leo nimeamka na wazo jipya kidogo. Nimeona dada zetu wakiolewa na hawa jamaa wenye asili ya kiasia lakini sijawahi kuona wanaume wakioa dada zao. Hivyo nashindwa kujua kama upo...
1 Reactions
82 Replies
14K Views
Back
Top Bottom