kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,815
Helloh wanaume wenzangu, natumaini wazima wakuu,
Mimi binafsi huwa nashangaa sana ninapoona mwanaume analalamika tena kwa sauti nyororo na machozi mengi kwelikweli eti "nimeumizwa na mpenzi wangu" how is this possible?? Inawezekanaje mwanaume kuwa soft kiasi hicho? how!! Mwanaume ni cheo kinachoomaanisha kuwa ni kiumbe cha tofauti, kiumbe jasiri, kiumbe kilichoumbwa kutawala.. inawezekanaje kiumbe kama hiki kifikie hatua ya kulia hadharani eti ameumizwa na mapenzi.. Ni afadhari alie ameumizwa na simba, but mwanamke, jaman how possible mwanamke anakuumiza hadi unashindwa sijui kula au kualala? hivi unajua nini wajibu wako wewe kama mwanaume kt dunia hii?
Wanawake ni viumbe dhaifu, vitabu vya dini vimekiri,.. Na kwa mimi ninavyodhani mbinguni hakuna wanawake,NI MWANAMKE GANI AMBAYE AMEWAHI KUPAA MOJA KWA MOJA MBINGUNI,AU ALIYEWAHI KUSHUKA KUTOKA MBINGUNI? soma vitabu vya dini vyote utagundua kuna historia mbali mbali za watu kupaa mbinguni, na kushuka kutoka mbinguni lakini never hakuna mwanamke mwenye wasifu huo, unajua kwaninin?
Sasa ni hivi sisi ni viongozi wa wanawake, ni watawala wao, kuanzia ngazi ya familia tuwalee watoto wa kiume kwa kuwaandaa kuwa wanaume, otherwise miaka 30 ijayo tufauti ya mwanaume na mwanamke itakuwa ni uume na uke tu.
Inakera sana, wanaume sasa ndo mabingwa wa kulalamika, tushawaachia hawa wanawake kila kitu,wameshika hatamu haooo.. yaani iku hizi wanawake wana viburi huwezi kudhani ila ukifuatilia utasikia ni mke wa mtu,, nyie vipi?? unashindwaje kumnyoosha mke wako? wanaume why mmekuwa soft hivi? achaneni na maisha ya tamthilia jaman, hebu turudi nyuma tuangalie maisha ya wazee wetu walivyoishi na wake zao, huu usasa huu tusiufuate kwa hivi viumbe.. tusimame kama wanaume, wewe ndo kichwa cha familia, ukisema hiki kiwe basi kiwepo. Mke wako anaondoka nyumbani bila kuaga we upo tu unakenua meno.. vipi? mkeo anakupangia masharti eti ukitaka kushika simu yangu namimi nishike ya kwako, shit!! nani baba na nani mama sasa?? tawala mke wako,ishi naye kwa akili..
ONYO; MWANAUME WA KWELI HARUHUSIWI KUMNYANYASA MWANAMKE....